Swali la kizushi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swali la kizushi

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by John W. Mlacha, Mar 15, 2012.

 1. J

  John W. Mlacha Verified User

  #1
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  Hivi unaweza kumuozesha mwanao kwa mvulana aliyetoboa sikio?
   
 2. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #2
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Rekebisha heading basi... Au hujakosea??
   
 3. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  ndio, wanawowana wao, sio mzazi.
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,227
  Trophy Points: 280
  kweli lugha imekua pana, kuna swali la kizuri na swali la kizushi?
   
 5. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mim nilidhani labda kakosea tu.
   
 6. Prishaz

  Prishaz JF-Expert Member

  #6
  Mar 15, 2012
  Joined: Nov 18, 2011
  Messages: 1,931
  Likes Received: 1,465
  Trophy Points: 280
  kama wakipendana mimi si Mungu kufanya pingamizi,isitoshe kutoga sikio haina impact ya kunifanya nimkatalie!ila kama anavaa hereni nitamshauri kuacha
   
 7. J

  John W. Mlacha Verified User

  #7
  Mar 15, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  maweee kweli ndio nimeaminia. ndio maana mnataka kumpa urais huyu mzazi kumbe watanzania wennyewe wapo hivi
   
 8. Muuza Sura

  Muuza Sura JF-Expert Member

  #8
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,990
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  Hereni style tu mkuu kuna wanaume hawavai vipuri ila wanaliwa kiboga!!!!usimjudge mtu kwa muonekano!!!!
   
 9. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #9
  Mar 15, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,090
  Likes Received: 1,262
  Trophy Points: 280
  kuvaa hereni sio kesi
   
 10. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #10
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Weweje...
  Utashindwa kumuoza mwanao kwa binti,aliyechora tattoo pajani?

  Au utamkatalia binti yako asiolewe na mtu anayefuga Rasta...?
   
 11. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #11
  Mar 15, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Sasa kama mwanao kampenda wewe utafanya nini? Hata usipomuozesha hautaweza kuvunja mahusiano kwani wameshaamua.
   
 12. m

  masoud ismail New Member

  #12
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ukishafikiria tu maana ya kijana kufanya vitu hivyo jibu lipo kweupeeeee
   
 13. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #13
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kwangu mimi ni bonge la kesi na noma kilo mia..
   
Loading...