wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,008
- 28,342
Katika wapendanao kuna kipindi mahusiano hukatika kwa njia mbalimbali kwa kuachana au kugombana hadi mmoja wao kulalamika kuwa amepotezewa muda na hili hasahasa wanawake ndo huwa na malalamiko kuwa mwenzie kampotezea muda.
Swali: Je ungekuwa haupo kwenye hayo mahusiano huo mda unaosema umepotezewa ungelikuwa umefanya nini?
Swali: Je ungekuwa haupo kwenye hayo mahusiano huo mda unaosema umepotezewa ungelikuwa umefanya nini?