kizuri kula na nduguyo namwambia mdogo wangu ampe tu kama anataka loh
Hebu chukulia kwamba, umeolewa na umeishi na mumeo kwa takriban miaka kumi. Siku za karibuni mumeo ameanza tabia chafu ya kutembea na wasichana wa kazi, mpaka ukaamua kutokuwa na wasichana wa kazi kabisa.
safi sana!!ingekuwa ni mimi ningeleta house boy kisha nami nitembee naye. jino kwa jino