hahahhaaa huo ugomvi sasa ila haya maswali ya itv haya
last two weeks waliuliza lile swali la mahausigeli kugeuzwa nyumba ndogo na madingi, dah nilikua na nimekaa na my wife wangu na watoto aaaghhrr nilifadhaika sana aiseee. Haya maswali haya basi tu
swali la kipimajoto itv :"wanaowapa hifadhi wahalifu wa aina mbalimbali, Je washughulikiwe kama magaidi"?
Wakiwa Waislamu; washughulikiwe kama 'Magaidi', ila kama sio itatosha tu kuwaita Wahalifu na kuwashughulikia softly!
Wakiwa Waislamu; washughulikiwe kama 'Magaidi', ila kama sio itatosha tu kuwaita Wahalifu na kuwashughulikia softly!
ndiyo .......
utajua keshoMi sijui
ufike wakati tubondane kwanza ndo udini utatuishaAl shabab, ISI, Boko haram ni wa dini gani kama sikosei ni wakristo???????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Wakiwa Waislamu; washughulikiwe kama 'Magaidi', ila kama sio itatosha tu kuwaita Wahalifu na kuwashughulikia softly!
ufike wakati tubondane kwanza ndo udini utatuisha