Swali la kinadharia tete kwa makamanda

Swali la kinadharia tete kwa makamanda

mi nakuomba siku nyingine hilo neno makamanda uwe unaliweka katika mabano ili kuonyesha kuwa unazungumzia hawa wazungusha mikono a.k.a nyumbu, na si wale makamanda halisi tuwajuao wa jeshini. ahsante!!!
 
Makamanda...people's......[emoji123] [emoji123]

Itikieni basi...au siyo? [emoji3] [emoji3]

Haya, hebu tuache masikhara sasa na tujadili mambo ya maana.

Najua mna hamu sana ya kuja kushika dola siku moja.

Ila kuna jambo moja linanitatiza. Mara kwa mara sasa nimekuwa nikiwasoma humu mkishangaa inakuwaje mtu aliyemuunga mkono Magufuli kwenye uchaguzi wa 2015 naye anaisoma namba.

Hivi nyie mnatakaje kwani? Kisa tu mtu alimuunga mkono Magufuli ndo iwe udhuru wa yeye kutokuisoma namba kama kavunja sheria?

Diallo yalipomkuta mlisema hivyo hivyo..kuwa eti yeye alikuwa mstari wa mbele kumuunga mkono Magufuli. Sasa huyu sijui Ali Mafuruki naye yamemkuta mnasema hivyo hivyo.

Hivi nyie, siku mtapokuja kushika dola mtakuwa mnaangalia nani ni kamanda na nani si kamanda katika kutekeleza sheria?

Hamtawashughulikia waliowaunga mkono na kuwashughulikia ambao hawakuwaunga mkono?

Nyie watu kushika dola bado sana kama akili zenu ziko hivyo.
Duh!

Punguza basi nawe kuusema ukweli unaoumiza ''makamanda'' wenye akili kama za nyumbu!

Hawa jamaa huwa ninacheka sana nikisoma hoja zao!

Sasa kama Edward Lowassa waliyetuambia kwa zaidi ya miaka minane ni fisadi papa lakini kwa sasa Mwenyekiti wa chama taifa amekuwa ndiye mfungua mlango wa gari la Lowassa ili Lowassa ashuke unategemea hawa ''makamanda'' wengine watakuwa na fikra gani zaidi ya fikra kama za nyumbu?
 
Makamanda...people's......[emoji123] [emoji123]

Itikieni basi...au siyo? [emoji3] [emoji3]

Haya, hebu tuache masikhara sasa na tujadili mambo ya maana.

Najua mna hamu sana ya kuja kushika dola siku moja.

Ila kuna jambo moja linanitatiza. Mara kwa mara sasa nimekuwa nikiwasoma humu mkishangaa inakuwaje mtu aliyemuunga mkono Magufuli kwenye uchaguzi wa 2015 naye anaisoma namba.

Hivi nyie mnatakaje kwani? Kisa tu mtu alimuunga mkono Magufuli ndo iwe udhuru wa yeye kutokuisoma namba kama kavunja sheria?

Diallo yalipomkuta mlisema hivyo hivyo..kuwa eti yeye alikuwa mstari wa mbele kumuunga mkono Magufuli. Sasa huyu sijui Ali Mafuruki naye yamemkuta mnasema hivyo hivyo.

Hivi nyie, siku mtapokuja kushika dola mtakuwa mnaangalia nani ni kamanda na nani si kamanda katika kutekeleza sheria?

Hamtawashughulikia waliowaunga mkono na kuwashughulikia ambao hawakuwaunga mkono?

Nyie watu kushika dola bado sana kama akili zenu ziko hivyo.

Huu nao ni uzi au udaku na mhemko ?!
 
Back
Top Bottom