Swali la kinadharia tete kwa makamanda

Swali la kinadharia tete kwa makamanda

Akili za kikamanda bana!

Sasa kama Nyerere makosa ya Nyerere ndo yanahalalisha makosa ya CHADEMA?
Usisahau kwamba Magufuli kaanza makosa from the word go,at least with Nyerere the world stood in awe as he tried to propel the nation to the next level-sadly it never materialised
 
Akili kidogo tu inatakiwa hapa...hivi kichaa akishakabidhiwa rungu kuna wa kupona kweli? Eti wewe upone kwa sababu tu ulimkabidhi rungu! If only idiocy could be painful...!
 
Unaelewa maana ya 'swali la kinadharia tete' kweli wewe?

Typical kamanda....dumb as a bucket of rocks!!!
Aisee! Hata nilichokiandika huelewi. Baki na nadharia zako. Upo nchi ya kufikirika, unaumba fikra hewa halafu unataka uilazimishe iwe uhalisia?Yaani,... "unawaza hivi ilitokea nimekuwa tajiri "ghafla" itakuwaje... "? Lililo bora, kadiri siku ziendavyo unajipambanua ulivyo mfinyu wa fikra.
 
Hahahaaa kamanda punguza jazba.
 
Haa haa haaa! Nina uhakika hawana jibu!
Mnataka jibu kwa swali gani la kitoto? Naye atujibie hili la kugawana faida nusu kwa nusu huku ukiwa na hisa kiduchu na kodi zako umeshalipwa na makwarakwara kibao ya kuajiri na kuhamishia makao makuu usukumani badala ya London limekaaje? Punguzeni kumalizia pombe zilizobakizwa kwenye glass nunueni zenu!
 
Jina nyumbu ni baya ila hakuna budi tu. saddest.. Denialist. Hawajui wanasimamia nini
 
Ni siasa tu... alafu pia anayetoa kauli ya chama yupo... huku ni kukatishana tamaa na kuchekeana wanapooneana Lakini Siyo msimamo wa Chama. Hapa jukwaani wapo wasiowanachama ila hawapendi mwenendo wa serikali.

Neno Peopleooooooss Siyo la utani mkuu.
 
kinachonisikitisha hawapigani na ccm wao wanapigana na aliyepo madarakani bila kujua muda utafika atakuja mwingine! kipindi cha jakaya walipambana nae na kumchafua walivyotaka na kuonekana hafai na wale ccm walioonekana wanamsema jakaya walionekana wazalendo, jakaya kaondoka kaja magufuli wanapambana nae na wale ccm wanaotofautiana na magufuli wanaonekana wazalendo, ataondoka atakuja mwingine watapambana nae,na wale ccm wataompinga ataonekana mzalendo, nae huyo ataondoka atakuja mwingine itakuwa ni hvyohvyo hadi miaka 100 itimie.
Najiuliza huwa wanapambana na ccm au aliyepo madarakani?? yaani ukitaka kuamini hilo hata Leo bashite akitumbuliwa na baada ya kutumbuliwa na kumpinga magu basi nae ataanza kuitwa mzalendo
 
Makamanda...people's......[emoji123] [emoji123]

Itikieni basi...au siyo? [emoji3] [emoji3]

Haya, hebu tuache masikhara sasa na tujadili mambo ya maana.

Najua mna hamu sana ya kuja kushika dola siku moja.

Ila kuna jambo moja linanitatiza. Mara kwa mara sasa nimekuwa nikiwasoma humu mkishangaa inakuwaje mtu aliyemuunga mkono Magufuli kwenye uchaguzi wa 2015 naye anaisoma namba.

Hivi nyie mnatakaje kwani? Kisa tu mtu alimuunga mkono Magufuli ndo iwe udhuru wa yeye kutokuisoma namba kama kavunja sheria?

Diallo yalipomkuta mlisema hivyo hivyo..kuwa eti yeye alikuwa mstari wa mbele kumuunga mkono Magufuli. Sasa huyu sijui Ali Mafuruki naye yamemkuta mnasema hivyo hivyo.

Hivi nyie, siku mtapokuja kushika dola mtakuwa mnaangalia nani ni kamanda na nani si kamanda katika kutekeleza sheria?

Hamtawashughulikia waliowaunga mkono na kuwashughulikia ambao hawakuwaunga mkono?

Nyie watu kushika dola bado sana kama akili zenu ziko hivyo.
Huwa nashindwa kuelewa kwa nini watu wa jamii yako huwa wanafikiria maswala ya nchi hii katika sura za uccm na uchadema inaakisi ufinyu wa upeo.
 
Unaongea kwa kujiamini Kama ulieshiba vizuri na account Inasoma zero zaidi ya 6.

Ila Nina uhakika yakikukuta, utachagua na mada za kuweka humu.

Wako walioshangilia mpaka pale maghorofa yao yalipovunjwa bila amri ya mahakama wakabaki hoehahe ndipo wakakaa kimya.
Nikupe mfano Huyo Nape alijivuna Sana. Wahenga walisema "Karma is a bitch."

Namba inaleta mantiki ikiwa sheria zinafuatwa. Na sio vinginevyo. Kama umelichagua jitu ambalo halifuati sheria na linakandamiza kila MTU. Wanayo haki ya kushangilia anguko lako. Ili iwe funzo kwa wengine. Naff said
nuff said boss!
 
Kuwa Kamanda sharti ufuate asemayo Mbowe pamoja na yule hawara wa mzungu.

Hao watu wanaweza kubadilisha imani za makamanda ndani ya dakika hata kama zitakinzana na jinsi walivyoamini kabla bila ya kuwa na evidence yoyote.
 
Mafuruki naye mbaya wake?

Simjui Mafuruki naongelea kilichotokea pale Mkuu Wa Mkoa Wa Arusha,Dar,Mkuu Wa wilaya Arumeru hawa wote wanatuhuma za jinai kwa hekima hata Hawa walitakiwa kuchukuliwa hatia stahiki he wamachukuliwa??Au Mkuu ndiyo aliyewatuma.Mafuruki na JPM kama wanabifu watajuana wenyewe
 
Makamanda...people's......[emoji123] [emoji123]

Itikieni basi...au siyo? [emoji3] [emoji3]

Haya, hebu tuache masikhara sasa na tujadili mambo ya maana.

Najua mna hamu sana ya kuja kushika dola siku moja.

Ila kuna jambo moja linanitatiza. Mara kwa mara sasa nimekuwa nikiwasoma humu mkishangaa inakuwaje mtu aliyemuunga mkono Magufuli kwenye uchaguzi wa 2015 naye anaisoma namba.

Hivi nyie mnatakaje kwani? Kisa tu mtu alimuunga mkono Magufuli ndo iwe udhuru wa yeye kutokuisoma namba kama kavunja sheria?

Diallo yalipomkuta mlisema hivyo hivyo..kuwa eti yeye alikuwa mstari wa mbele kumuunga mkono Magufuli. Sasa huyu sijui Ali Mafuruki naye yamemkuta mnasema hivyo hivyo.

Hivi nyie, siku mtapokuja kushika dola mtakuwa mnaangalia nani ni kamanda na nani si kamanda katika kutekeleza sheria?

Hamtawashughulikia waliowaunga mkono na kuwashughulikia ambao hawakuwaunga mkono?

Nyie watu kushika dola bado sana kama akili zenu ziko hivyo.
Jibu lako ni hivi,
2015 tulitzkiwa tuchague mtu ambae hatatusomesha namba, bali atatuletea neema ya maisha,
Sasa kwenye kumchagua huyo mtu ndio tulitofautiana, wengine wakasema mabadiliko ndio yanafaa, na wengine hapa kazi tu ndio anafaa.
Sasa yule aliechagua hapa kazi tu leo akianza kulia lia tunamshangaa maana yeye ndie alietuthibitishia kua hapa kazi tu ndio alikua anafaa, sasa why aanze kulia tena??
Sie tukilia ni sawa tu maana tulishaona toka 2015
 
Makamanda...people's......[emoji123] [emoji123]

Itikieni basi...au siyo? [emoji3] [emoji3]

Haya, hebu tuache masikhara sasa na tujadili mambo ya maana.

Najua mna hamu sana ya kuja kushika dola siku moja.

Ila kuna jambo moja linanitatiza. Mara kwa mara sasa nimekuwa nikiwasoma humu mkishangaa inakuwaje mtu aliyemuunga mkono Magufuli kwenye uchaguzi wa 2015 naye anaisoma namba.

Hivi nyie mnatakaje kwani? Kisa tu mtu alimuunga mkono Magufuli ndo iwe udhuru wa yeye kutokuisoma namba kama kavunja sheria?

Diallo yalipomkuta mlisema hivyo hivyo..kuwa eti yeye alikuwa mstari wa mbele kumuunga mkono Magufuli. Sasa huyu sijui Ali Mafuruki naye yamemkuta mnasema hivyo hivyo.

Hivi nyie, siku mtapokuja kushika dola mtakuwa mnaangalia nani ni kamanda na nani si kamanda katika kutekeleza sheria?

Hamtawashughulikia waliowaunga mkono na kuwashughulikia ambao hawakuwaunga mkono?

Nyie watu kushika dola bado sana kama akili zenu ziko hivyo.
Endelea kujikomba ili uteuliwe na wewe nyumbu wa Lumumba
 
Back
Top Bottom