Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,155
- 137,166
Makamanda...people's......
Itikieni basi...au siyo?
Haya, hebu tuache masikhara sasa na tujadili mambo ya maana.
Najua mna hamu sana ya kuja kushika dola siku moja.
Ila kuna jambo moja linanitatiza. Mara kwa mara sasa nimekuwa nikiwasoma humu mkishangaa inakuwaje mtu aliyemuunga mkono Magufuli kwenye uchaguzi wa 2015 naye anaisoma namba.
Hivi nyie mnatakaje kwani? Kisa tu mtu alimuunga mkono Magufuli ndo iwe udhuru wa yeye kutokuisoma namba kama kavunja sheria?
Diallo yalipomkuta mlisema hivyo hivyo..kuwa eti yeye alikuwa mstari wa mbele kumuunga mkono Magufuli. Sasa huyu sijui Ali Mafuruki naye yamemkuta mnasema hivyo hivyo.
Hivi nyie, siku mtapokuja kushika dola mtakuwa mnaangalia nani ni kamanda na nani si kamanda katika kutekeleza sheria?
Hamtawashughulikia waliowaunga mkono na kuwashughulikia ambao hawakuwaunga mkono?
Nyie watu kushika dola bado sana kama akili zenu ziko hivyo.