Swali kwenu wanawake

Wanawake wana hulka ya kulinda uzao wao uendelee. Hawapendi mwanamke mwingine kwa ajili ya hofu hiyo kuwa familia inaweza kupata upungufu wa mahitaji. Hata wakikubali n ni KWANI HAWANA NAMNA NYINGINE.
 
Sure
 
Aoe mke wa pili kivipi yaani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Yaani kitendo tu cha kunishirikisha hiyo idea usiku alale kwa machale sana maana anaweza kuamka balls hazipo.
Daah, hatari sana
 
Aoe mke wa pili kivipi yaani๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Yaani kitendo tu cha kunishirikisha hiyo idea usiku alale kwa machale sana maana anaweza kuamka balls hazipo.
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Vitu vingine huwa nasema Ahsante Mungu nilizaliwa mkristo na nitakufa nikiwa mkristo

Ila kuna wanawake wana ujasiri sana aisee
Ukiona mwanamke anakubali ukewenza basi tambua tu kuwa huyo mwanamke ni tegemezi kwa mumewe na hana uwezo wa ku move on kimaisha bila huyo mwanamme. So anakubali tu kishingo upande huku moyoni analia. Hakuna mwanamke anapenda ukewenza, ni sawa tu mwanamme kuwa na mke analiwa na mtu mwingine kwa zamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ