Uzoefu wangu ni kwamba tunapokuwa tunajifunza huchukua yote na kupembua au kupwakia. Ndiyo maana, mara nyingi, utakuta ndoa zilizofanikiwa huzaa watoto walifanikiwa na zilizoharibika kutoa walioharibikiwa. Ila yote hutegemea na uchaguzi wa anayejifunza. Kwa mfano kama mama yako alikuwa single mother au baba yako mpigaji, unaweza kuchukia tabia hiyo ikawa motisha kwako kuwa na familia bora. Pia kitu kingine hutegemea combination baina ya wanandoa. Kwa mfano kama mume amelelewa kwenye mazingira ya kutenda wema na haki huku mke ni wale akina lasima utumie kinu kujenga kwenu mama'ngu unategemea nini?