Swali kwenu mafundi umeme

Swali kwenu mafundi umeme

wa stendi

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Posts
26,597
Reaction score
29,530
Hivi sehemu ambayo kumefungwa feni liwe panga boy au kata kiuno (ciling fan) mimi nikatoa hapo lile feni nikaacha ile regulator zile wire za feni nikafunga hapo streight holder na kupachika hapo balbu (eneg sever)hivi nikienda kuwasha kwenye swich na kuzungusha regulator gia 1,2.3.4.5 hivi ile taa itaongezeka mwanga?

Naomba kujuzwa mimi sikusomea umeme na kama haliwezekani tatizo litakuwa nini maana karenti zinazoingia pale na zile zile live na neturo.
 
Ok,
Kuna switch zamani zilikuwa zinaitwa Dimmer switch. kwa incandescent lamps, ukiipa umeme mdogo kuliko utakiwao kwake, itawaka kwa mwanga mdogo sana ... na ukishusha zaidi itawaka kidogo zaidi kuelekea kutowaka kabisa.

Sasa kwa energy server, ukiipa umeme mdogo itawaka kidogo ingawa ina kiwango kidogo sana cha kuvumilia umeme mdogo ukiilinganisha na incandescent lamp. Hivyo kujibu swali lako, inapunguza mwanga kutegemeana na posirion ya switch. Ila kama umeme utaenda chini ya uwezo wake wa kuwaka, haitawaka...
 
Theoretically jibu ni ndiyo hasa kama regulator inatumia resistor,na ukafunga taa ya element bulb au na siyo energy saver,pia jibu itakuwa hapana kama regulator inatumia capacitor.

All in all practical ndiyo hutoa majibu ya kweli,kajaribu ila kuwa mwangalifu,kumbuka umeme unasafiri kwa speed ya mwanga,hivyo kama kuna kosa huwez zaia ni PAAAAAH!!
 
Yaani unataka mwanga wa bulb nao uongezeka kama vile feni inavyoongeza speed ya rotation baada ya kuongeza speed namba 1...2...3...4...5? Mwanga wa Bulb unategemea Watts ya bulbu yenyewe kama alivyojibu mkuu Kamwene kamwene
Itategemea uwezo wa bulb (watts) na umeme unaokwenda... ukiwa zaidi itaungua (voltage) na ukiwa mdogo itawaka kidogo kwa maana ya kiasi cha mwanga... na ikiwa kidogo zaidi ya minimum capacity haitawaka....ie not fixed value but a range
 
Umeme unazidi kivipi mkuu ukifunga regulator?
Hapo umeme hautazidi ila utakuwa sawa au chini ya kiasi cha supply
 
Kwenye ile switch ya fen Kuna resistors za value tofauti, Anyways tutolee mfano kunabomba kubwa la maji.

Halafu kunapipe zenye kipenyo tofaut tofaut zinachukua maji kwenye bomba Hilo
Hope kiwango Cha maji kitakachotoka kwenye pipe hzo sio sawa ikilinganishwa na kipenyo chake

The same
Sawa na Kua na resistors za 10 ohms....na 10k..na 47k na 100k zote hizi zikiunga kwenye njia moja ya umeme output zake haziwez kua sawa. Maana yake currents zinazotoka kwenye 10ohm so sawa na itakayotoka kwenye 100k.

Hivyo inawezekana taa ikawaka mianga tofauti ikilingana na uliposelect as a fan speed.

kelphin kepph
 
energy seva nyingi sio dimmable, ili ifanye unavyotaka wewe lazima taa iwe dimmable, zipo spesho pale kkoo mtaa wa gogo/narung'ombe
 
Kwa hiyo hapo jibu nichukue lipi
Ok,
Kuna switch zamani zilikuwa zinaitwa Dimmer switch. kwa incandescent lamps, ukiipa umeme mdogo kuliko utakiwao kwake, itawaka kwa mwanga mdogo sana ... na ukishusha zaidi itawaka kidogo zaidi kuelekea kutowaka kabisa.

Sasa kwa energy server, ukiipa umeme mdogo itawaka kidogo ingawa ina kiwango kidogo sana cha kuvumilia umeme mdogo ukiilinganisha na incandescent lamp. Hivyo kujibu swali lako, inapunguza mwanga kutegemeana na posirion ya switch. Ila kama umeme utaenda chini ya uwezo wake wa kuwaka, haitawaka...
 
Ngoja nikajaribu [emoji1]
Msiponiona humu mje kunitembelea mwananyamala
Theoretically jibu ni ndiyo hasa kama regulator inatumia resistor,na ukafunga taa ya element bulb au na siyo energy saver,pia jibu itakuwa hapana kama regulator inatumia capacitor.

All in all practical ndiyo hutoa majibu ya kweli,kajaribu ila kuwa mwangalifu,kumbuka umeme unasafiri kwa speed ya mwanga,hivyo kama kuna kosa huwez zaia ni PAAAAAH!!
 
Vipi itaungua au mwanga utaongezea
Kwenye ile switch ya fen Kuna resistors za value tofauti, Anyways tutolee mfano kunabomba kubwa la maji.

Halafu kunapipe zenye kipenyo tofaut tofaut zinachukua maji kwenye bomba Hilo
Hope kiwango Cha maji kitakachotoka kwenye pipe hzo sio sawa ikilinganishwa na kipenyo chake

The same
Sawa na Kua na resistors za 10 ohms....na 10k..na 47k na 100k zote hizi zikiunga kwenye njia moja ya umeme output zake haziwez kua sawa. Maana yake currents zinazotoka kwenye 10ohm so sawa na itakayotoka kwenye 100k.

Hivyo inawezekana taa ikawaka mianga tofauti ikilingana na uliposelect as a fan speed.

kelphin kepph
 
energy seva nyingi sio dimmable, ili ifanye unavyotaka wewe lazima taa iwe dimmable, zipo spesho pale kkoo mtaa wa gogo/narung'ombe
Ile ya kimulimuli au[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Theoretically it should work if and only if that energy server is dimmable and the Electrical ratings are all bound to that energy server.

Read the Electrical information of your energy server, the wiring system and its regulator has got no problems.

Fan's regulator for speed control doesn't guarantee that your lamp might work the same despite of all being the Electrical loads.

It all depends on whether the energy server is dimmable or not plus the Electrical ratings, read its technical manufacturer's information.

Be ware, safety first , kama hujui nini kitatokea then mwite fundi au tafuta right dimmer yenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom