Swali kwa Watanzania

Swali kwa Watanzania

gfesto

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2013
Posts
653
Reaction score
146
Hivi mbona kumekuwa na maneno mengi ya kejeli na kashfa kwa Rais ambae tulimchagua wenyewe? Akifanya uteuzi wa mawaziri, utasikia kachemka, wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa nk. yote kachemka. Ziara zote nje ya nchi nazo mnasema hazina manufaa kwa nchi, akicheka, Rais gani anachekacheka.

Aliowateua wakifanya ubadhilifu tu, Rais gani yuko kimya. Ina maana hatukuwa makini katika maamuzi? Na je, mmejipangaje awamu hii? Nawasilisha kwenu tafadhali.
 
Hata sokoni unaweza ukachagua nazi kwa kudhani ni nzuri kumbe ni koroma na unagundua hilo ukiwa tayari umeshafanya malipo...
 
Kawasilishe kwenye siasa kule, kwa hiyo unataka akifanya fyongo tufurahie kwa vile ulimchagua wewe? Jitambue ndugu.
 
Kawasilishe kwenye siasa kule, kwa hiyo unataka akifanya fyongo tufurahie kwa vile ulimchagua wewe? Jitambue ndugu.

Najitambua ndo maana nasema awamu hii tuwe makini tusije tukawa wa kulalamiko tena.
 
Hivi mbona kumekuwa na maneno mengi ya kejeli na kashfa kwa Rais ambae tulimchagua wenyewe? Akifanya uteuzi wa mawaziri, utasikia kachemka, wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa nk. yote kachemka. Ziara zote nje ya nchi nazo mnasema hazina manufaa kwa nchi, akicheka, Rais gani anachekacheka. Aliowateua wakifanya ubadhilifu tu, Rais gani yuko kimya.
Ina maana hatukuwa makini katika maamuzi? Na je, mmejipangaje awamu hii? Nawasilisha kwenu tafadhali.

Wewe Una Rais au Una Shati Tu Limekaa Pale Magogoni?
 
Hivi mbona kumekuwa na maneno mengi ya kejeli na kashfa kwa Rais ambae tulimchagua wenyewe? Akifanya uteuzi wa mawaziri, utasikia kachemka, wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa nk. yote kachemka. Ziara zote nje ya nchi nazo mnasema hazina manufaa kwa nchi, akicheka, Rais gani anachekacheka.

Aliowateua wakifanya ubadhilifu tu, Rais gani yuko kimya. Ina maana hatukuwa makini katika maamuzi? Na je, mmejipangaje awamu hii? Nawasilisha kwenu tafadhali.

We Niaje? Sema Ulimchagua wewe.....sikumpigia kura yangu huyu raisi...
 
We Niaje? Sema Ulimchagua wewe.....sikumpigia kura yangu huyu raisi...

napi pia ckumpgia huyu jamaa, nilimpigia yule aliekuwa chaguo la wengi ila akachakachuliwa kura. so zambi za urushi ndio zinamtesa huyu mt-mbezi wa nchi za nje
 
Naona mnazidi kukana lakini ni bure tu mkae mkijua ndo Rais wa waliomchagua na ambao hawakumchagua.
 
Back
Top Bottom