Mrimi
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 1,691
- 641
Jamani najua kuuliza ni ujinga ndio maana nahitaji kueleweshwa ili niondokane na ujinga! Mimi ni mpenzi sana wa google map,ila kuna kitu kinanichanganya sana.Kwamba je,ni nani anawapa hawa jamaa data za mahali fulani.Kwa mfano,kwa kuanzia tafuta kijiji ulichozaliwa au ulichoambiwa baba/mama yako ametokea,mara moja utakipata tena kwa jina lake sahihi!
Nijuavyo mimi,satelite wanayotumia inaweza kulocate point lakini jina la ile point ni lazima aither lipo imelisoma au apatikane mtu wa kuipatia jina la hiyo point.Sasa iweje kwenye google map hata majina ya kilugha kabisa ya mitaa/vijiji vyetu yapo na hayajakosewa wakati sisi wenyewe(wakazi) tukiambiwa tuyaandike tunakosea?