Swali kwa wapendanao tu!

Swali kwa wapendanao tu!

Joined
Jan 17, 2013
Posts
28
Reaction score
3
Uko na mpenzi wako na mnapendana sana na ikafikia hatua mkaoana na mnaishi pamoja ila wote kila mmoja kwa wakati wake ana mpenzi wa kando (siri yake).

siku moja kwa bahati mbaya kila mtu akiwa na mpenzi wake wa kando mnakuna koridoni katika nyumba ya kulala wageni! ndo kwanza mnaingia kuzini! pale nani anamakosa? na kama wewe ni mwanamke utachukua hatua gani na ukiwa mwanaume utachukua hatua gani?
 
Mie kwangu siku zote mwanamke ndiye mwenye makosa,

Mwanaume huwa akosei teh teh teh teh .......
 
KWA HIYO UTAMDUNDA AU UTAMPA TARAKA?
 
Hee! Mi namuuliza tu "...condom unazo?..." kama hana nampa nusu na mimi nabaki na nusu!
Then Mjadala nyumbani! Weee akileta ubishi makofi! Afu anijibu ni dini gani inaruhusu ume wenza!
Kwa vile kuna uke wenza ndio natest ivyo, jee ntawaweza wawili or watatu! Sio nikurupuke tu kujiolea!
 
Yan hapo nitamdunda huyo jamaa aliechukua mke wangu, namke wangu asipofanya hivyo kwa dem wangu wapembeni, nae namuangushia kipigo nyumbani.
 
Mmmh kazi kweli kweli. Cha msingi hapo kila mmoja anauchuna tu mnafanya kama hamjuani vile
 
Hamna mwenye makosa,kila mtu atafanya kilichompeleka gesti,maswali mengine tutaulizana tukirudi home
 
Mmmh kazi kweli kweli. Cha msingi hapo kila mmoja anauchuna tu mnafanya kama hamjuani vile

Haiwezekani, wakati mimi nime-plan kumvalia condom malaya niliyemchukua, nitajuaje labda njemba litamchapa kavukavu mke-wangu. Hapo inaweza kuwa ndio mwanzo wa kumchapa mke wangu na condom hadi kwenda kupima, na vilevile inaweza ikawa mwisho wa ndoa.
 
Ooh kumbe hapo uta-apply mfumo dume eeh kulikoni kumchapa mkeo ilihali hapo mmetoka ngoma droo.
 
Mhhhh! kwa hiyo mnaendelea na shughuli zenu kama kawa!? :noidea::noidea::noidea:

Mmmh kazi kweli kweli. Cha msingi hapo kila mmoja anauchuna tu mnafanya kama hamjuani vile
 
Mhhhh! kwa hiyo mnaendelea na shughuli zenu kama kawa!? :noidea::noidea::noidea:
Hahahahahahahaha ndo manake wanaendelea na shughuli zao kama kawa yaani kama hawakuonana vile. Wakifika home hasa atakaetangulia ndio aanze kumuuliza mwenzake anatoka wapi na mbona hakuaga.
 
Mi nikimuona nitamwambia ''afadhali mume wangu nimekuona yaani nilikuja huku na huyu kijana kuja kukutegeshea tu, kama kweli yale maneno ya watu kuwa unanicheat hivi ni kweli? Na sasa nimejionea,,,,,, mume mbaya sana wewe!!!!!!!'' then namuaga hawara wangu ki-umbea umbea.... ''haya kaka asante nashukuru sana kwa msaada wako msalimie shoga angu Ablessed'' yule hawara akisepa namvuta demu wa mume wangu namtia makwenzi!!!!!!!!! Then namshika mume wangu mkono kwa hasira fake huku natoa lawama juu yake haoooooo hadi home!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

Hahahahahahahaha yaani dada mdogo umenichekesha hadi basi lol. Maujanja hayo utayapata wapi ilihali umekamtwa ndio mnaingia chumbani mwee. Halafu wakati huo hukutegemea kama utamkuta hapo mkuu wa kaya.
 
Ujue kondomu zinakuwa 3 tu kwenye kipakti! Hapo mnagawanaje yaani? Bora kila mtu akafuate utaratibu wake.
Hee! Mi namuuliza tu "...condom unazo?..." kama hana nampa nusu na mimi nabaki na nusu!
Then Mjadala nyumbani! Weee akileta ubishi makofi! Afu anijibu ni dini gani inaruhusu ume wenza!
Kwa vile kuna uke wenza ndio natest ivyo, jee ntawaweza wawili or watatu! Sio nikurupuke tu kujiolea!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom