Nimependa namna unavyofikiri!
Lakini bado nahitaji majibu kutoka kwako!
kiukweli nzuri ni hiyo ya kujichua kwasababu haina gharama wala maradhi ila KWANINI afanye hivyo na mimi nipo???? mbaya zaid ukute anakuacha chumban anaingia bafuni kufanya hiyo mambo, khaaa.!! unaweza ukang`ata mtu
Hebu kuwa mkweli hapa bana
Anaenda kujichua,nini kinakuuma?
Yaani wewe ni kitu gani hasa kinakufanya ujisikie vibaya?
Si mkono bana?
Hata kama hutaki maswali nakuuliza tu!
Wewe fikra zako kwenye hili hazipo?
Maana hapo umetembelea fikra za mwingine[Mungu?]
Ingawa yaweza haribu misuli ya uume na kumletea matatizo ya kisaikolojia na physiologia na mwisho kupunguza ladha ya tendo la ndoa kwetu sote.
Kwangu mimi, afanye mazoezi na aiachie asili (wet dreams) kuliko nyeto na mpango wa kando.
Niulize ufahamu wako juu ya hili. Wanawake walioolewa hawajichui?
Na ukigundua mwenza wako huwa anajichua (bila kukushirikisha) utaona kama anakucheat sawa na angelaka na mwanaume mwingine?
Kwanini?
.........Halafu wewe!!!!!!!!!!!!!!!
1. kwanini ajichue? simtoshelezi ama?
2. kwanini anisaliti? hanipend au
we nawe kwa kushabikia lohWanawake mpooo???
Wengi mwalikimbia swali/maswali ya msingi.....
Hakuna kilicho bora.......
we nawe kwa kushabikia loh