Ivi ukimvulia docta wa kiume ambaye ni rika lako au ni handsome flan hivi,akakupekua kila mahali,,(hasa sehemu za siri).Baada ya kupona akaja kukuomba mkafanye matusi (sio inreturn), yani amekufili na kweli wewe una umbo balaa.Je utamwonea aibu na kumkatalia?
Je kiwango cha kumpiga tarehe kitakuwepo kweli? au kitakua kama shoka moja mbuyu chini,(assume umeisha olewa)

...mnh, 🙁
Siri nyingine zinatakiwa zibakie huko huko kwenye Gynaecological examination... mtakuja kataa madakitari buree, wake zenu wabakie tasa!
...halafu sio lazima awe rika lake!
Personally na Very bad experience ya kimada fulani, katika kukuru kakara zake za kutoa mimba (haikuwa yangu!), akaangukia mikononi mwa huyo 'Gynaecologist' tena wala jamaa hakuwa Qualified,..matokeo yake ikawa kula nikule weee...
sijamsamehe mpaka leo huyo Binti na huyo Dakitari wake!
thread zako bwana! aombe imekuwa lawalawa hiyo? wanatuzalisha na kutuona vilivyo ije kuwa hiyo kutibia ki juu juu ilete ishu zote hizo? kwa ujumla sielewi kichwa wala mguu wa swali lako, ngoja niache watakaokuwa wamekuelewa wakujibu inavyopaswa.
.. Haikuwa ya kwako........ ila hujamsamehe mpaka leo. Aksante.
...that's right....
au unataka na ufafanuzi?
nilikuwa ng'ambo, huko bongo yeye akafanya madudu akanasa. Baada ya kuing'oa, hakuishia hapo, akaanza uhusiano na huyo dakitari.
Got it now?
...that's right....
au unataka na ufafanuzi?
nilikuwa ng'ambo, huko bongo yeye akafanya madudu akanasa. Baada ya kuing'oa, hakuishia hapo, akaanza uhusiano na huyo dakitari.
Got it now?
kwa hiyo huyo Daktari aliamua kuoa kabisa!!!!
Thanx kaka I was just pulling ya leg......
No comment this is really serious and we pray it can not happen as there is ethics in medicine
No comment this is really serious and we pray it can not happen as there is ethics in medicine
Kumkubali au kumkataa haihusiane kabisa na kwamba yeye ameshaniona sehemu zangu nyeti. kama simpendi simpendi.
Samahani mimi si mwanamke, maana swali limelenga kwa wanawake.
Ndugu yangu, hapa itategemeana ndoa yako. Kama wewe unaheshimu ndoa yako, haina matatizo, mnaishi vizuri na mume basi kumkubali huyo daktari ni nadra sana. Lakini kama wewe ni kiruka njia, basi atakulamba tu.
Huwa nafikilia sana kwa nini ndoa nyingi zinafungwa na nyingi zinamatatizo, zinavunjika? Ukimkubali dokta na mume akainyaka basi shughuri ipo.
By the way kama haujaolewa, hapa itategemeana na akili yako maana kuna baadhi ya wasichana huwanza kujiuliza. leo kaona uke wangu kautamani je kesho akiona uke wa Miss x si atatamani tena
Kwa kweli.
All in all, kumkubali au kumkataa inategemeana na wewe, mazingira ya ndoa yako n.k
...aaaa, wapi...kapiga piga tu akaacha...
...😉 ...tena nusura 'uuchomoe', taratibu jamani Mwa'jamii#1
...
Swala la daktari kukutokea eti ukamkubalia kwa sababu wakati anakutibu alikuona sehemu za siri, mimi sioni kuwa ni sahihi. Manake basi kama ni hivyo kwenye operation au kujifungua ambapo huwa kuna timu ya watu sometimes hadi kumi, ina maana utachunguliwa na kila mmoja wao, na ikitokea wote wamekutamani basi utasleep na wote hao.
Kutembea au kutotembea na daktari, ni uamuzi independent kabisa, na naona kabisa kuwa mtu akimkubalia dk kwa sababu hizo ni kutafuta tu justification ya kucheat au kufanya maamuzi hayo.
...sema kina dada sometimes wanakuwa flirtatious wenyewe wakati wakiwa kwenye chumba cha daktari.tena akianza kufanyiwa physical examination ndiyo inakuwa balaa.na ukichanganya na utamaduni wetu kuwa mwanamke akishaonwa utupu wake anakuwa hana ujanja basi hapo ndipo haya mahusiano batili yanapoanza.
kwahiyo ninachotaka kusema ni kwamba mdada kubanjuliwa na daktari wake ni kujitakia mwenyewe otherwise anaweza kumkatalia na uhusiano wake na wa daktari wake ukaendelea kuwa wa kawaida.
sasa uliyeleta mada-hii kitu si inakwenda both ways,i mean mbona hujazungumzia madaktari wanawake wanaowa attend waume za watu?