Hiyo buku arifu unga, mchele, mkaa/kuni/gesi, chumvi,mafuta ya kupikia vipo ndani au hiyo buku yako ndio kila kitu nikatafute kwa mangi? Mbona unataka kutuchosha hivi chaaa!!!
Unaishi mkoa gani? usifuraishe jamviππ
Dona kilo ni buku,nusu jero
Dagaa fungu ni jero, zle za pakti ni buku
Hakuna kuni za bei iyo kwa jiji lolote apa tz, hata uko mikoani sdhani