kufa kwaajili ya mzazi na kwaajili ya mtu unaempenda ni vitu viwili tofauti......Unaona ajabu kwani hujaona au hujasikia wanaojitoa mhanga kwaajili ya wawapendao... but inategemea na situation simaanishi kujinyonga!!!
And my comment wasnt serious either...nimefata flow ya thread and the whole thread is a big joke!!
huyo anayehonga siku zikimwishia atakulilia....wote wasanii. MWANAUME RIJALI SHURTI KUJIAMINI.
mwanaume mwenye mapenzi ya dhati ni yule anayejali maendeleo yako na kuku-support kuwa na maendeleo hata ikitokea akafa hutakuwa tegemezi. yule anayekushirikisha mambo yake ya maisha, anayekusikiliza
Huyo wa kwanza hanifai manake me mwenyewe napenda kuhonga, halafu baba alinambiaga 'cha mtu m.a.v.i.
Huyo wa pili ndo sitaki hata kumuona, kuliliana liliana kuleteana uchuro tu, kwanza mwanaume haliagi ovyo.