pwilo
JF-Expert Member
- May 27, 2015
- 10,108
- 12,489
Habari za weekend wadau,
Maisha yamebadilika sana kutokana na utandawazi na life style pia imebadilika na kufanya watu kutumia social network ku share kila kitu walichonacho au wanachopitia sasa leo nataka wadada mtoe maoni yenu kutokana na wanaume wenye tabia hzo.
Hivi mwanaume ambaye anapenda sana kuweka maisha yake kwenye social network mnamchukuliaje? Yupo Dar anaenda Morogoro anapost ticket yake status.
Kanunua simu mpya inawekwa status na box lake na risiti yake. Haipiti siku bila kupost picha zake tena mpaka duara linajaa lile la status. Mwanaume ambaye anapost picha yupo geto kwake na vitu vyake vyote vya ndani vinaonekana anavyomiliki tena mara kwa mara.
Mwanaume anayefanya birthday party kubwa sana mpaka week inaisha bado anasherehekea tu birthday. Hiyo ni mifano tu ila wapo wa aina tofauti tofauti na hao. Akiumwa anatuma picha status anachoma sindano huku anatoa ulimi nje kama mbuzi.
Mnamchukuliaje?