Swali kwa wanaume

Mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
75,525
Reaction score
185,663
Heshima yenu!

unawezaje kumanage kuwa na mwanamke ambaye amekuzidi elimu na kipato pia?????????? Maana mmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhh....


Ni hilo tu..
 
Wanaume wachache sn ndo wenye uwezo wa kuvumilia iyo hali lakin me nadhan ni inferiority complex tuu
 
kwani kuna tatizo gani....? ukifokea ana heshimu....
 
Wanaume wachache sn ndo wenye uwezo wa kuvumilia iyo hali lakin me nadhan ni inferiority complex tuu

Nimeshuhudia mengi sana, na kwa kawaida ndoa ya mwanamke mwenye nacho kuliko mumewe hazidumu, zinakuwa za kitambo tu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…