Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,671
- 11,339
Unatumia sizitaki mbichi hiziMimi hua sinuni ila ninazidisha uple na upendo baadae anaingia kingi nikisha mgonga ninamuuliza kwanini alikuwa anakatalia
wala sijali nuna, lia yani tena kama huna vigezo wala ushawishi utajuta aiseeee nakutoa nduki
kwani vigezo gani unavyovitaka bibie?
zi nini hizo?
Kinachowanunisha?! Si muumbe zenu
Hakuna mwanaume ambaye hajawah kukataliwa.
Achana nao wanune, wavimbe, wapasuke wanakupunguza nini kwani.....???
we nipe kwanza alafu ndio uniaambie hatuwez kuendelea kwa sababu a,b,c.... nk mambo ya kunyimana ushamba wa kizaman tupunguziane stress nikikuomba ukaninyima lazima ni mind!!! alafu kama huna time na mm niambie nakupa leo tu!!!
utajisikiaje ukinuniwa na wote, ikapita hata ka mwezi hujatongozwa?
Kwani tongozo linanishibisha?
uwe unajielewa si kuja kujisifu unanini? kuwa na hoja za singi nione kweli we ni kiongozi si unakuja unaishia kuimba wimbo i love u i love u if love is everything go and pay your bill with love ----kkkk........show me you have plan and vision si unakuja unajielezea oooh nimenunua gari oooh gari ipo garage oooh ma sister anaolewa loh sitaki mie kuchoshwa...
we nipe kwanza alafu ndio uniaambie hatuwez kuendelea kwa sababu a,b,c.... nk mambo ya kunyimana ushamba wa kizaman tupunguziane stress nikikuomba ukaninyima lazima ni mind!!! alafu kama huna time na mm niambie nakupa leo tu!!!
mmh kwa hapo labda wengine wajibu.....maana mie huwa sitongozi ;-
are u NORMAL????????