Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,682
- 45,597
Ndoa bila shaka...Tumeanzisha ''mahusiano ya kimapenzi'' halafu hataki kufanya mapenzii?? kwahyo anataka nn sasa kwenye hayo mahusiano
Sio bikira๐๐Kama hajawahi kumpa mtu yeyote mwingine naweza nikasubiri.
Lakini kwanini awe ashampa mwingine mimi anikazie?
Hiyo ni ngum zaid
๐๐๐....Ha ha ha mapenzi ya kihehe haya, no sex hadi ndoa? Ukikuta hakuna marinda je?
kwa ndoa zetu hizi za ''until death do us apart'' hakuna anaeweza kucheza kamali kama hyoNdoa bila shaka...
Kwahiyo mpaka mnjunjane...?kwa ndoa zetu hizi za ''until death do us apart'' hakuna anaeweza kucheza kamali kama hyo
Yeah lazima iwe hivyo. kuna mengi yapaswa kujulikana before commitment..hebu fikiria unakuta kama alivyosema mdau hapo juu kwamba unakuta no marinda, au breki mapaja and so on...itakuajeKwahiyo mpaka mnjunjane...?
Sasa hapo anakuwa amekubali au "anakufikiria"? Afu ukute hata bikira yenyewe ilishabomolewaN'na swali dogo tuu....hivi umeanzisha mahusiano ya kimapenzi na mwanamke(unampenda kweli),na mwanamke huyo akakubali na kukupenda pia kwa moyo wote..lakini anakuambia "No Sex Before Marriage"....je,.utakubali au utavunja mahusiano???
Weekend Nono"..๐พ๐ท๐พ
Huyo akatafute ambao anawaweka tu wakati anawapa wengine. Mimi hapana. I can't wait i can't tolerate.Sio bikira
Duuuh...babu jomonii k isiwepo??๐Sasa hapo anakuwa amekubali au "anakufikiria"? Afu ukute hata bikira yenyewe ilishabomolewa
Yaani univulie chupi baada ya ndoa? Nikikuta huna K?
Mimi bhana ili nikuoe sio univulie chupi tu bali na mimba juu! Ndoa itafungwa ukiwa na mimba ya miezi 9 au mtoto kashazaliwa.
Chaaa๐๐Hata mie kama mwanamke sikubali!
Je ukute mwanamme ana KAPENSELI au LITANGO!!!
Lazima nione ndio nifanye maamuzi kama anafaa kuishi hadi kifo kitutenganishe au hafai!!!!
Yuko serious kweli DUnakubali maana unajua hilo ni swala la muda tu atapitiwa ata kabla ya ndoa
Msimamo wenye nguvu lolNamimi ntajibu " Tutest Mitambo" basi baada ya hapo msimamo wenye nguvu na ushinde.
Wanaume tunashuhudia mengi wewe....nlishawahi kukutana na K ina meno. Hiyo ndo siku niligundua nina kipaji cha riadha. Tena MARATHON...Duuuh...babu jomonii k isiwepo??๐