be creative, nitarudi nyumbani na nitamweleza "sikusafiri ila nilienda Kenya kukununulia zawadi kubwa ya kuku-surprise, lakini baada ya kusikia kupotea kwa ndege uliyodhani nimo ndani yake, niliamua nirudi kwanza ili nikueleze ukweli na ujue niko salama salmini." (kama nahisi atani-doubt, basi nitamwendea na zawadi yenyewe)
hahaha you made my day 100%
Mkuu kumbuka wife alikusindikiza adi uwanja wa ndege kabisa na ndege ulotarajia kwenda nayo ndo hiyo ishapotea..be creative, nitarudi nyumbani na nitamweleza "sikusafiri ila nilienda Kenya kukununulia zawadi kubwa ya kuku-surprise, lakini baada ya kusikia kupotea kwa ndege uliyodhani nimo ndani yake, niliamua nirudi kwanza ili nikueleze ukweli na ujue niko salama salmini." (kama nahisi atani-doubt, basi nitamwendea na zawadi yenyewe)
Just imaginations tu..sote tunajua kuhusu ndege iliyopotea. Hivi ingekuaje umemwongopea mkeo unasafari kakusindikiza vizuri tu mpaka airport.!!baada ya mkeo kuondoka unageza kumbe ukua na nia ya kusafiri wala nini unageuza mayb unaenda zako nyumba ndogo iliyoko hapohapo town..sasa kimbembe kinakuja kama hivi ndege imepotea siku ya nne wife nyumbani anajua hiyo ndo ndege ulopanda kwahiyo kaamua kuweka msiba,ndugu wote washa fahamishwa kuhusu kifo chako..mfano sasa ingekua wewe ndo kishanuka kama hivi ungesolve vipi huu msala...????
mkuu inaitwa passengers manifest inaonyesha jina la abiria,na uraia wake.hawezi kuweka msiba bila kuwa na uhakika. atakwenda airline na watamwambia haukuwepo kwenye ndege wala kwenye list ya abiria. atajua umechepuka. NDEGE SIO KAMA BASI LA MOROGORO KUNA RECORDS.
We naona ujawai kua stressedup mzee wife kakusindikiza kabisahawezi kuweka msiba bila kuwa na uhakika. atakwenda airline na watamwambia haukuwepo kwenye ndege wala kwenye list ya abiria. atajua umechepuka. NDEGE SIO KAMA BASI LA MOROGORO KUNA RECORDS.
We naona ujawai kua stressedup mzee wife kakusindikiza kabisa
Mpaka airport, afu utanambia ataenda kuhakikisha?kuhakikisha nini hapo mkuu..?
be creative, nitarudi nyumbani na nitamweleza "sikusafiri ila nilienda Kenya kukununulia zawadi kubwa ya kuku-surprise, lakini baada ya kusikia kupotea kwa ndege uliyodhani nimo ndani yake, niliamua nirudi kwanza ili nikueleze ukweli na ujue niko salama salmini." (kama nahisi atani-doubt, basi nitamwendea na zawadi yenyewe)
napotea moja kwa moja huko huko nyumba ndogo