nimefurahi sana mkuu kujua umenielewa asante na siku iwe njema kwako.blue g. Thanx 4 ur advice na nimependa ushauri wako. Kiukwel cjawadharau but just commenting. Thanks mkuu
Ze english ze problem, kwanza umetukashfu sisi wafupi, halafu nadhan hapo kwenye rangi urudi class, Grammar bado kabisa, andika viswahili tu.Kweli nimeamini wanaume wafupi wana matatizo sana. Wasipopendwa wanalalamika utackia ooh mi mfupi ndo mana mademu wananikataa. Lakini wakipata bahati ya kupendwa wanaichezea. Kuna mdada amempenda sana mkaka mfupi,cha ajabu huyo kaka ndo kwanza pozi zmekuwa nyingi. Swali kwao short men labda wanataka nini? Moto au baridi? Hebu jifunzeni jamani 7bu mshajua most of girls are preffered tall men but nyie mkipendwa mnaleta pozi za ajabu. Hebu acheni kuchezea shilingi chooni.
Kwanini mnawanyanyapaa watu wafupi jamani? Maana hata sisi wanaume warefu hatutaki kusikia kabisa habari za wanawake wafupi. Kwani tatizo ni nini hasa?
Unazungumzia ufupi upi? Wa kuanzia juu kushuka chini ama wa dushelele?
Kweli nimeamini wanaume wafupi wana matatizo sana. Wasipopendwa wanalalamika utackia ooh mi mfupi ndo mana mademu wananikataa. Lakini wakipata bahati ya kupendwa wanaichezea. Kuna mdada amempenda sana mkaka mfupi,cha ajabu huyo kaka ndo kwanza pozi zmekuwa nyingi. Swali kwao short men labda wanataka nini? Moto au baridi? Hebu jifunzeni jamani 7bu mshajua most of girls are preffered tall men but nyie mkipendwa mnaleta pozi za ajabu. Hebu acheni kuchezea shilingi chooni.
Ze english ze problem, kwanza umetukashfu sisi wafupi, halafu nadhan hapo kwenye rangi urudi class, Grammar bado kabisa, andika viswahili tu.
:tape:
Umeongea maneno ya busara sana,huwa wanajishaua sana saa sita, ikianza saa tisa wanaanza kuhaha hata hao wafupi hawaonekani.Wanawake hasa vijana ambao hawana hata mchumba ndio wenye kudharau wanaume wafupi kama mleta mada. Ajabu ni kwamba wakifikia kuolewa hata hao mbilikimo hawawapati. Tena wanawaona ndio bonge la mshikaji.
Ewe dada, mwanaume ni mwanaume tuu hata awe vipi? Acha madharau yako humu. Ngoja tuone huyo tall atakayekuoa ni yupi. Kwa heri
Acha zako wewe,,,,,,,,,,ungekuwa jirani ningekukata makofi kwa kutujumuisha wafupi wote wakati ni tatizo la huyo mmoja.