F frank massawe New Member Joined Apr 7, 2011 Posts 2 Reaction score 1 Apr 12, 2011 #21 ndo maana yake bwana
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,333 Reaction score 72,656 Sep 27, 2017 #22 Blaki Womani said: Ulimbukeni unawasumbua na kuona weupe ni uzuri mwisho wa siku hawathubutu kupita kwenye jua wanakuwa na mabakamabaka kama batiki Click to expand... True kabisa
Blaki Womani said: Ulimbukeni unawasumbua na kuona weupe ni uzuri mwisho wa siku hawathubutu kupita kwenye jua wanakuwa na mabakamabaka kama batiki Click to expand... True kabisa
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,333 Reaction score 72,656 Sep 27, 2017 #23 Yeah wanaukana
P poa tu JF-Expert Member Joined Jun 16, 2016 Posts 1,173 Reaction score 1,657 Sep 27, 2017 #24 Mwanakili90 said: wale wanaotumia madawa na cream za kujichubua inamaanisha WANAUKANA UAFRICA? Click to expand... Hakuna uhusiano kati ya weusi na Uafrika. Kuna waarabu Afrika na kule Zimbabwe, Zambia na South Afrika kuna wazungu waafrika. Labda ubadili muktadha wa swali lako.
Mwanakili90 said: wale wanaotumia madawa na cream za kujichubua inamaanisha WANAUKANA UAFRICA? Click to expand... Hakuna uhusiano kati ya weusi na Uafrika. Kuna waarabu Afrika na kule Zimbabwe, Zambia na South Afrika kuna wazungu waafrika. Labda ubadili muktadha wa swali lako.
Blaki Womani JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 11,228 Reaction score 13,450 Sep 27, 2017 #25 Joseverest said: True kabisa Click to expand... Mkuu salute kwako
bandamo JF-Expert Member Joined Aug 5, 2017 Posts 1,930 Reaction score 1,370 Sep 27, 2017 #26 Ni vitu vya kuiga bila kujua madhara yake shida kubwa ni umri unasumbua wakikua wanaacha ila ngozi zao zimechoka kabla ya umli
Ni vitu vya kuiga bila kujua madhara yake shida kubwa ni umri unasumbua wakikua wanaacha ila ngozi zao zimechoka kabla ya umli
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,333 Reaction score 72,656 Sep 27, 2017 #27 Blaki Womani said: Mkuu salute kwako Click to expand... Salute na kwako pia
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,986 Reaction score 189,587 Sep 27, 2017 #28 Joseverest said: True kabisa Click to expand... Naona siku ya leo ni kufukua makaburi tu
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,333 Reaction score 72,656 Sep 27, 2017 #29 Kichwa Kichafu said: Naona siku ya leo ni kufukua makaburi tu Click to expand... Hahahah
Mgodo visa JF-Expert Member Joined Nov 1, 2016 Posts 3,606 Reaction score 3,676 Sep 27, 2017 #30 Hata Amerika (USA) wanaweza kujiita Waafrika , na maisha yakaendelea.... Je unadhani Misri, Libya, Tunisia ama Morocco, ni sahihi kwao kuitwa Africa..?
Hata Amerika (USA) wanaweza kujiita Waafrika , na maisha yakaendelea.... Je unadhani Misri, Libya, Tunisia ama Morocco, ni sahihi kwao kuitwa Africa..?