Swali Kwa wanaume marijali wote

Swali Kwa wanaume marijali wote

Nafikiri inategemea unaishije na mpenzi wako ndani ya nyumba,sometimes inatokea tu mnacheza au kutaniana na mkeo akakushika sehemu yeyote ikiwemo hapo.
Nafikiri kama mko ndani mnacheza michezo yenu kama wapenzi haina shida labda kama akushike kwa makusudi ya kukudharau.
Matani ya kushikwa matako?...hapana aisee
 
Back
Top Bottom