Swali kwa wanaume ila wadada pia mnaruhusiwa kuchangia


rose za kupotea?
 
hakuna heshima wala nini, tena ndo uliwa bila hata kununuliwa soda,

utaishia kunywa maji ya kunywa yaliopo kwenye friji,
 
Kufanya sex nje ya ando ni ukosefu wa adabu, hata mimi huwa sina adabu sometimes :cool2:
 
hii ni kweli kabisa moja ya wanaume ya wasio waaminifu au wanaoogopa commitment ni kutompeleka mwanamke sehemu wanayoishi...hata mi nilikuwa na lijamaa flani hivi basi akawa ananizengua sana kunipeleka maskani kwake..tulispend atleast more than six month tunahang' kwenye mabeach tu lakini lenyewe linakuja kwangu na linaenjoy sana kuja maskani..mwisho wa siku nikaanza kumpotezea taratiibu nayeye akasepa..kumbe lilikuwa na mwanamke mwingine!daah mpaka leo niko makini!
 

Hiyo inaitwa kitonga line.....kula bure, kulala bure, ku do bure...............ukijaamka zamaaani na big G ipo stage ya kutemwa ndo maana ulipojijua tu ye huyooo lainiii ana close chapter na kuanza kuandika book report

Wake up Girls heshima ya mwanamke anayo mwenyewe..........so protect yours
 

Duuuuh!Hii nayo kiboko!
 
Unaweza kupelekwa home kumbe mwenzio anakwepa gharama za hoteli. Tena mkifika home atajipinda apike. Khaa! Wanaume si watu.
 
Kwi kwi kwi kwi.......mbavu zangu.......Uzi huu umenipa asubuhi njema.........kumbe kuliwa mzigo siku hizi ni 'kuwa idiot? Kwa hiyo NA kuchinja ni kuwa idiot?
Olala so my good friend bishanga abashaija you are an idiot,damn you bishanga,stop this kuchinja especially kuchinjia vichakani,gotcha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…