Naona unahani nyumba isiyofiwa mi sijaongelea mambo ya serikali mbili hapa
mada inayo jadiliwa ni hiyo hapo,
"Kuna watu watu wengi wamekuwa wakisema UKAWA warudi kujadili serikali 2 kisha wananchi wataamua. swali kwao ni kwa nini hao walio bungeni wasikubali kujadili serikali 3 zilizopendekezwa na wananchi halafu wakati wa kupiga kura ukifika wananchi waamue wenyewe? kwani hao wanaokomaa ikajadiliwe serikali 2 wanaogopa nini kujadili serikali 3 halafu wananchi waamue?"