Hata Mataifa yaliyoendelea tumesikia mara kadhaa viongozi wakitumiwa kwa rushwa, matumizi mabaya ya ofisi, kudorora kwa uchumi. n.k. Kwa hiyo mkuu serikali yoyoye inayoongozwa na Binadamu ina mapungufu yake. Hauwezi kuwahukumu wanaoipenda CCM kwa kuangalia matatizo ambayo ni ya kawaida kwa binadamu. Hii ni hoja mfu kuliko zote nilizowahi kuona humu Jf. Eti unauliza swali wanaoihusudu CCM wakati wewe ukiulizwa unakihusudu chama kipi na kwa nini , sidhani kama una jibu kwa vile hakuna hata kimoja zaidi ya CCM kilichothubutu kuongoza serikali hata kwa sekunde tukaona kama viongozi wake wakuwa kama IDD AMIN aliyekuwa akimpenda mke wa mtu anachukua bila hata uoga, kama viongozi wake hawataishia kusaliti ndoa zao na kwenda DUBAI sasa tena mchana kweupe na kusahau kuwa wako kwa ajili ya kuwatumikia watanzania, kama viongozi wake hawatakuwa wa vurugu na kero kibao kwa watanzania.
Mkuu waache watanzania wajivunie chama chao, chama chenye kuwaleta pamoja badala ya kuwagawa kwa mtindo wa umajimbo, ukabila na udini.
Unaweza kuona hayo ni matatizo yaliyosababishwa na CCM kama ambavyo walibya walivyolewa amani, utajiri na kumuona Ghadaffi hafai tena kwa musukumo wa wabaya wa LIBYA, leo hii wanatamani bila mafanikio afufuke mzee wa watu angalau awaonjeshe analau ule utamu waliokuwa nao enzi za uhai wake.
Hauwezi kulinganisha utawala wa gaddaf na CCM hata siku moja, labda uangalie haya machache aliyokuwa akiyafanya Gaddaf je CCM wanayafanya?Hata Mataifa yaliyoendelea tumesikia mara kadhaa viongozi wakitumiwa kwa rushwa, matumizi mabaya ya ofisi, kudorora kwa uchumi. n.k. Kwa hiyo mkuu serikali yoyoye inayoongozwa na Binadamu ina mapungufu yake. Hauwezi kuwahukumu wanaoipenda CCM kwa kuangalia matatizo ambayo ni ya kawaida kwa binadamu. Hii ni hoja mfu kuliko zote nilizowahi kuona humu Jf. Eti unauliza swali wanaoihusudu CCM wakati wewe ukiulizwa unakihusudu chama kipi na kwa nini , sidhani kama una jibu kwa vile hakuna hata kimoja zaidi ya CCM kilichothubutu kuongoza serikali hata kwa sekunde tukaona kama viongozi wake wakuwa kama IDD AMIN aliyekuwa akimpenda mke wa mtu anachukua bila hata uoga, kama viongozi wake hawataishia kusaliti ndoa zao na kwenda DUBAI sasa tena mchana kweupe na kusahau kuwa wako kwa ajili ya kuwatumikia watanzania, kama viongozi wake hawatakuwa wa vurugu na kero kibao kwa watanzania.
Mkuu waache watanzania wajivunie chama chao, chama chenye kuwaleta pamoja badala ya kuwagawa kwa mtindo wa umajimbo, ukabila na udini.
Unaweza kuona hayo ni matatizo yaliyosababishwa na CCM kama ambavyo walibya walivyolewa amani, utajiri na kumuona Ghadaffi hafai tena kwa musukumo wa wabaya wa LIBYA, leo hii wanatamani bila mafanikio afufuke mzee wa watu angalau awaonjeshe analau ule utamu waliokuwa nao enzi za uhai wake.
Na mpaka kesho huyu Babu ana kadi ya ccm...
CCM ni kama maji, usipo yanywa utaogea, au utanawia tu...
Unaposhabikia kuwa Dr.Slaa ana kadi ya CCM umesoma katiba ya CCM inazungumziaje juu ya hilo? Je Dr. Ni mwanachama wa CCM kikatiba? au ni kuwa ameihifadhi hiyo kadi kama kumbukumbu tu. Pia kumbuka vijana wote wa sekondari miaka ya 90 kurudi nyuma tulikuwa tunalazimishwa kununua kadi za umoja wa vijana wa CCM kwa hiyo kwa akili zako wote tulionazo hizi kadi ni wanachama wa UVCCM
chadema ni jibu la matatizo yote ya watz
Kwanini usiturudishie??? Kila kukicha watu wanarudisha na kupewa kadi. Yaani we mzee ni mtu mzima na kichwani
hapako vizuri??? Umeshastaafu?
Kwanini usiturudishie??? Kila kukicha watu wanarudisha na kupewa kadi. Yaani we mzee ni mtu mzima na kichwani
hapako vizuri??? Umeshastaafu?
wengi wametoka CCM...baada ya kuona kuna ubabaishaji, upendeleo(kama sio mtoto wa kiongozi ni vigumu kupanda juu)....slaa katoka ccm baada ya kuona udhalimu na unafki mkubwa ccm
Wewe una akili kijana
ilivunja baraza la mawaziri kwa sababu za ufisadi, ilisaini mikataba ya kifisadi kama ule wa gesi - mtwara viongozi/mafisadi kujichotea fedha Benki kuu(Epa) na hazina kuu (bilioni 480) bila woga.
nawauliza ninyi mnaosimama na kuipenda ccm maswali yafuatayo. Hv ni kweli mpo kwa maslahi ya kitaifa au mnachumia matumbo? Hv mnaridhia wizi wa pembe za ndovu unaofanywa na viongozi wenu?
Je mnapenda uchumi unavyoporomoka? Je mnahuruma na vizazi vya sasa na baadae? Je mnaridhika jinsi ccm wanavyotumia pesa nyingi kuua upinzani?
Je mnapenda kuona watoto wenu wanasoma shule bora huku watoto wengi wa kimaskini wakisoma shule za kata zisizo na walimu wa kutosha no madawati no maabara?
Je mliridhika kuona wazee wa east africa wakipigwa mabomu wakidai haki zao? Je mnasikia raha mkichakachua katiba huku imetumia pesa nyingi za nchi? Je kama nyerere angefufuka leo mngamueleza haya aliwachia muyaenzi?
Je mnapenda utajiri mkubwa wa kutisha huku watanzania hawana maji safi umeme juu? Mnafurahia watoto wenu pekee kufanya kazi benki kuu na wizara nyeti huku watoto wa maskini wanaishia ualimu?
Je mnafurahi kuona ombaomba wanaongezeka wakiwa na watoto wanaomba huku mkimuohonga zitto kodi za watanzania? Fisi na utumbo wake.
Wanaosapoti ccm ni wale wanaotaka mafanikio ya haraka kama V Kamata
nadhani dr slaa humfahamu vizuri,,kiufupi ni miongoni mwa watu safi waliobaki kama hazina kwa taifa letu
chadema ni jibu la matatizo yote ya watz
Na mpaka kesho huyu Babu ana kadi ya ccm...
CCM ni kama maji, usipo yanywa utaogea, au utanawia tu...