ASCUDA T
Senior Member
- Sep 10, 2013
- 120
- 33
Nawauliza Ninyi Mnaosimama Na Kuipenda Ccm Maswali Yafuatayo. Hv Ni Kweli Mpo Kwa Maslahi Ya Kitaifa Au Mnachumia Matumbo? Hv Mnaridhia Wizi Wa Pembe Za Ndovu Unaofanywa Na Viongozi Wenu?
Je Mnapenda Uchumi Unavyoporomoka? Je Mnahuruma Na Vizazi Vya Sasa Na Baadae? Je Mnaridhika Jinsi Ccm Wanavyotumia Pesa Nyingi Kuua Upinzani?
Je Mnapenda Kuona Watoto Wenu Wanasoma Shule Bora Huku Watoto Wengi Wa Kimaskini Wakisoma Shule Za Kata Zisizo Na Walimu Wa Kutosha No Madawati No Maabara?
Je Mliridhika Kuona Wazee Wa East Africa Wakipigwa Mabomu Wakidai Haki Zao? Je Mnasikia Raha Mkichakachua Katiba Huku Imetumia Pesa Nyingi Za Nchi? Je Kama Nyerere Angefufuka Leo Mngamueleza Haya Aliwachia Muyaenzi?
Je Mnapenda Utajiri Mkubwa Wa Kutisha Huku Watanzania Hawana Maji Safi Umeme Juu? Mnafurahia Watoto Wenu Pekee Kufanya Kazi Benki Kuu Na Wizara Nyeti Huku Watoto Wa Maskini Wanaishia Ualimu?
Je Mnafurahi Kuona Ombaomba Wanaongezeka Wakiwa Na Watoto Wanaomba Huku Mkimuohonga Zitto Kodi Za Watanzania? Fisi Na Utumbo Wake.