Mimi kama mke wa ndoa baada ya utambulisho ningempa mume mkono na kumwambia Glad to know you kisha nauchuna kimya kama siyo mimi vile.
natulia tu mimi si nimepewa lift bwana
natulia tu mimi si nimepewa lift bwana
Mke alimuomba mume ampe lifti mpaka kwenye sherehe ( kitchen party, mume akasema yuko busy Nafikiri hili swali linawahusu wanandoa ambao mume anachepuka badala ya wanandoa wote.
Namshauri huyo mke awe mtulivu kwenye gari, aombe kushushwa kwanza nyumbani halafu mumewe aendelee na shughuli za ofisini kwake. Wakati mume anaendelea na shughuli za ofisini kwake yeye anafunga mizgo yake na kwenda kuanza maisha mapya sehemu nyingine!!
Nyie wa kujifanya mnanyamaza ivo ndio huwa tunasoma magazetini kuwa 'amkata map**bu mumewe kwa wivu wa kimapenzi'
Au 'amnywesha mtoto wake sumu nae kuinywa baada ya kumkuta mumewe na kidosho kwny gari'
Sipati picha jamaa alivyokodoa mimacho
Mume ndo hajisomi yani mkeo kakwambia anaenda kitchen party usielize ni wapi at the same time umpeleke kitchen party kimada mpaka sherehe imeisha hujawasiliana na mke wako at least kwa unafiki ili ujue alifikaje na atarudi je? Kimsingi hii ndoa ni ya maboksi ndo maana fumanizi limetokea kirahisi sana!
Kwa situation kama hii mimi kama mume ningemchinjia baharini mchepuko then ngeondoka na wife afu njiani ningemkana simjui na wala sijawahi mwona!
Sipati picha jamaa alivyokodoa mimacho
Kama fundi saa aliyepoteza mshale
Kama hivi..
Umeona eeh hakuna haja yakugombana na mdada wa watu kisa gubegube.