kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,506
- 18,872
Ningetulia tuli hadi nifike nyumbani ndio ningejua huo mziki niucheze style gani
Na wake wote wawili....?
Ningetulia tuli hadi nifike nyumbani ndio ningejua huo mziki niucheze style gani
I just imagine watu mna usafiri lakini third party ndio anafaidi matunda ya kazi yenu, wewe kama mke unaiona gari lakini huenjoy kitu..
kila mtu anaweza kufanya hivyo kwanza jamaa shupavu kampa mkewe hela ya taxi kosa liko wapi,kama kuchepuk wengi tunachepuka sioni kosa lake zaidi ya kumuonea huruma tuKuna wanaume wapu.mbavu sana..!
Nafikiri hili swali linawahusu wanandoa ambao mume anachepuka badala ya wanandoa wote. Namshauri huyo mke awe mtulivu kwenye gari, aombe kushushwa kwanza nyumbani halafu mumewe aendelee na shughuli za ofisini kwake. Wakati mume anaendelea na shughuli za ofisini kwake yeye anafunga mizgo yake na kwenda kuanza maisha mapya sehemu nyingine!!
Kumbuka hukuwa na miadi na wife wako bali umemfuata gf!
Mimi kama mke wa ndoa baada ya utambulisho ningempa mume mkono na kumwambia Glad to know you kisha nauchuna kimya kama siyo mimi vile.
Hahahaha!! Sasa ajali ya nini wakati yupo na kitulizo chake, kwanza mimi naona bado tu ananithamini kanipa hela ya tax kwenda na kurud, hakuniacha nipalamie daladala, still loving me no means of fighting, yaani naweza nisimuulize vile vile hata tukifika nyumbani.
Wewe uyo....
Ningetulia tuli hadi nifike nyumbani ndio ningejua huo mziki niucheze style gani
Utampa kidude....😀
Tufanye basi wewe ndo huyo mume nakupa.....wewe je?😀😉
I resty case come zis way I miss u>>>>
.....acha tu!, unbelievable!, sintashaa kama hii inatokea kweli!
Wanaume with this kind of thinking kama wewe ni wachache sana kwetu!
Cc MK254
Hehehehe!! Hilo haliwezi kunikuta mimi kui siku zote mwanaume kamili, kama lazima uwe na "mpango wa kando" (tunavyowaita hapa Kenya), basi hakikisha malkia wako nyumbani anaishi maisha ya umalkia.
Halafu hakuna jinsi naweza enda kwenye hafla ya kijamii na demu wa pembeni, hizo ndio baadhi ya haki za mke ambazo hazifai kuguzwa. Tatizo vijana wa siku hizi wamejiweka kwenye mambo haya bila kuelewa sheria na vigezo vya mchezo na kutuharibia C.V.
CC: kadoda11