Swali kwa wana ndoa tu

natulia tu mimi si nimepewa lift bwana

natulia tu mimi si nimepewa lift bwana

Nyie wa kujifanya mnanyamaza ivo ndio huwa tunasoma magazetini kuwa 'amkata map**bu mumewe kwa wivu wa kimapenzi'

Au 'amnywesha mtoto wake sumu nae kuinywa baada ya kumkuta mumewe na kidosho kwny gari'
 

Amuachie mume uhuru wa kula raha na mchepuko? Atafungasha yeye aniache.... Lol
 
nzuri sana hii mimi kama mke ntamsalimu ila ntakua mkarimu kwa GF wake ntamtambulisha kua BF wake ni mumewangu nione hekima yake imeishia wap? kuhusu mume wangu simpoooo simuulizi badala yake naanzakupendeza naongeza misele na vicheko tabasamu kuuuubwa atafurahi mwenyewe na roho yake
 
Nyie wa kujifanya mnanyamaza ivo ndio huwa tunasoma magazetini kuwa 'amkata map**bu mumewe kwa wivu wa kimapenzi'

Au 'amnywesha mtoto wake sumu nae kuinywa baada ya kumkuta mumewe na kidosho kwny gari'

Hahahaaaa hakuna kitu kama hicho afi ukute kidosho chenyewe cha ajabuuuuu ya nini kelele 😡😡😡
 
Mume ndo hajisomi yani mkeo kakwambia anaenda kitchen party usielize ni wapi at the same time umpeleke kitchen party kimada mpaka sherehe imeisha hujawasiliana na mke wako at least kwa unafiki ili ujue alifikaje na atarudi je? Kimsingi hii ndoa ni ya maboksi ndo maana fumanizi limetokea kirahisi sana!
Kwa situation kama hii mimi kama mume ningemchinjia baharini mchepuko then ngeondoka na wife afu njiani ningemkana simjui na wala sijawahi mwona!
 

Wakati mwingine inatokea usijue sherehe iki ukumbi gani make zimezidi mno. Utajua kuwa ipo lakini habari ya ukumbi inakuwa negligible. Mambo ya u-busy haya!
 
kwa hiyo itabidi akamshushe rafik wa girlfriend(mke) ndo ampeleke girlfriend???? hahaha tam kwelikwel
 
ninge kaza tu naupeleka mchepuko alafu tukifika home naomba msamaha akikaza namwambia aondoke nikamlete yule mchepuko nadhani yataisha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…