Swali kwa wana IT tu

Swali kwa wana IT tu

Vilaza bana.. Hili nalo linataka IT [emoji3][emoji3]
 
wengine smart wamezipatia ukubwani kuna tofauti kati ya mtoto wako anayepewa kila siku na wajomba zake anachezea kwahiyo ni bora kumwelekeza bila maneno makali, huenda anaumri mkubwa.

heshima heshima.
 
Asanteni kwa wote walioniwezesha kunielekeza nimeelewa.Pia wale walionibeza pia nawashukuru kwa challenge zao kwani bila wao nisingeongeza bidii kuelewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom