kwa kutumia busara nyepesi nyepesi, hivi haya yote yanayotokea ikiwemo;
- kuuwawa kwa rpc mwanza,sasa kwani wamemua ccm?polisi kama taasisi wanafanya uchunguzi.
- kuchomwa kwa makanisa na mauajaji mbagala,waliochoma ccm kwani?polisi wamechukua hatua za kisheria.
- vurugu za kukamatwa muhuni ponda,ndio! Serikali imemkamata maana anavunja sheria.wanaofanya fujo nao watashughulikiwa kisheria.
- vurugu zanzibar na;sasa wewe unashauri serikali ya z'bar ifanye je zaidi ya kuwakamata wafanya fujo
- kuuwawa na kuchinjwa kwa asikali;unadhani kawawa na ccm?
- kutangazwa kwa baa la njaa;unadhani ccm wanaweza kuleta mvua ili chakula cha kutosha kipatikane?
je nibusara raisi na jemedari mkuu wetu kuendelea na ziara ya kutembelea na kushangaa kasri ya mfalme wa omani na kutembelea miskiti huko omani. Je tunahitaji wachuuzi kutoka omani kiasi hicho? Je nijambo gani litokee hili raisi akatize safari yake na kurudi?