Katika hao wake mmoja wa ndo ndie atakae tambulika hasahasa ni yule wa kwanza wewe ulienza nae kufunga ndoa ila na yeye afuate dini yakoMfano mtu ameoa ana wake watano na wote kazaa nao, akaamua kuwa Mkristo hao wake zake inabidi awape taraka au? Maana si ndoa ya Kristo ni ya mke mmoja/
Hakuna kitakacho tokea ila anaetambulika kidini ni huyo wa kwanza ilieanza kufunga nae ndoa hata sisi wakristo kuna wenye wake zaidi ya wawili na kuendelea ila kidini anaetambulika ni yule wa kwanza tuj hao wengine ni kujishereheshea tuu na watoto wanahesabika wote kama umezaa nao.Nini kitatokea kwa hao wengine aliobaki?
Sasa hao wake wengine ataendela kushirikiana nao kimwili au lah! na kama akiendelea atakuwa anafanya zinaa au hapana na kama ni ndiyo si kuwanyima haki hao wanawakeHakuna kitakacho tokea ila anaetambulika kidini ni huyo wa kwanza ilieanza kufunga nae ndoa hata sisi wakristo kuna wenye wake zaidi ya wawili na kuendelea ila kidini anaetambulika ni yule wa kwanza tuj hao wengine ni kujishereheshea tuu na watoto wanahesabika wote kama umezaa nao.
Kwa mfano ukifa hua wanasema marehemu kaacha watoto labda kumi au kuendelea hata kama mke wa kwanza ulizaa na mmoja na wake wengine ukazaa nao watoto wengi
Si kuwaonea mkuu kwa maana itakuwa kama kawazalisha then kawatosaUkihamia kwa wakristo utafuata utaratibu wa kikristo (na kinyume chake pia)......huyo inabidi aanze upya, aibariki ndoa kikristo ili ampate mke halali mmoja wa ndoa ya kikristo, hao wengine atakuwa anazini nao kama ataendelea nao.
Hiyo inahesabika ni zinaa maana tayari mke wa ndoa unaeSasa hao wake wengine ataendela kushirikiana nao kimwili au lah! na kama akiendelea atakuwa anafanya zinaa au hapana na kama ni ndiyo si kuwanyima haki hao wanawake
Mfano mtu ameoa ana wake watano na wote kazaa nao, akaamua kuwa Mkristo hao wake zake inabidi awape taraka au? Maana si ndoa ya Kristo ni ya mke mmoja/
Hii Mimi nimeishudia kuna shehe alikua na wake wanne akaamua kuokoka akaacha na uislam. Na akaambiwa afunge ndoa Mpya ya kikristo akawapa talaka hawa watatu akaoa mmoja wa kwanza wake na mpaka leo yupo nae na hao wengine waliendelea na kudangaHiyo inahesabika ni zinaa maana tayari mke wa ndoa unae
Hilo swali sio kwa wakristo bali ni kwa waislam ambao wanaruhusu ndoa za mitala..
Waulize je mtu akibadili dini hao wanawake wenginr inakuaje?
Ukishabadili dini au kuritadi uislam hauna jukumu na ww isipokuwa kama utaleta fitina katika dini hukumu yako ni kuuliwa
Jaribu kuelewa swali.Hilo swali sio kwa wakristo bali ni kwa waislam ambao wanaruhusu ndoa za mitala..
Waulize je mtu akibadili dini hao wanawake wenginr inakuaje?
Akibadili dini kutoka kwenye Uislamu si atafuata taratibu na kanuni za hiyo dini aliyohamia? Kama hawaruhusu mke zaidi ya mmoja haliwezi kua ni suala litakalojibiwa na Uislam tenaHilo swali sio kwa wakristo bali ni kwa waislam ambao wanaruhusu ndoa za mitala..
Waulize je mtu akibadili dini hao wanawake wenginr inakuaje?
Nitoke nje ya mada kidogo..Akibadili dini kutoka kwenye Uislamu si atafuata taratibu na kanuni za hiyo dini aliyohamia? Kama hawaruhusu mke zaidi ya mmoja haliwezi kua ni suala litakalojibiwa na Uislam tena
Ama ungeuliza kama mtu ana wake watano na anataka kuingia kwenye Uislam na katika sheria za dini ya kiislam ndoa mwisho ni wake wanne tu itakuaje?
Uislamu hamung'unyi maneno itabidi amuache mke mmoja katika hao kama atavyochagua yeye mwenyewe(sio lazima kwamba abaki na yule wa mwanzo) na kisha abaki na wake wanne tu kwa wakati mmoja
Ni suala la sheria, taratibu na kanuni mkuu kama ambavyo dini zingine zinasema strict mmoja mpaka kufaNitoke nje ya mada kidogo..
Kama unaruhusiwa kuoa zaidi ya mmoja kwanini upewe limit kuwa nne ndio mwisho?
Si bora uoe tu idadi unayotaka as long as ni zaidi ya mmoja!
Si lazima afuate dini yako mkuu. Kanisa katoliki linaruhusu mpaka muislamu kumuoa mkataloki.Katika hao wake mmoja wa ndo ndie atakae tambulika hasahasa ni yule wa kwanza wewe ulienza nae kufunga ndoa ila na yeye afuate dini yako