Swali kwa wadada walio single

lets be reasonable! kama mtu hamuendani why try?
sijaelewa hamuendani kipato,kitabia,kiumri, au kipato tuuuu vingine,handsome? au kidini?
Au mkiendana kipato vingine vitakuja vyenyewe?
 

duh dunia nzima!!!thanks for information.
 

smtms mna wrong perception khs wanawake. kwanini mnaona wanawake kuwa na kipato kikubwa ni dhambi?

kwanza hao wanaoongoza kwa kuvaa vitu vya gharama, ukifatilia waweza kuta hata kipato kikubwa hawana. so, lazima wawatafute mabuzi ili waweze kumaintain hizo gharama. wadada wenye kipato kikubwa wapo simple sana, wkt mwingine huwezi kuwatmbua kwa kuwaangalia kwa macho tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…