Swali kwa vyombo vya dola

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,671
149,851
Tangu Msukuma aseme Bungeni yuko tayari kushirikiana na vyombo vya dola kuthibitisha madai yake juu ya mali anazomiliki Makonda, vyombo hivi vimeshafanya mawasiliano na Msukumu juu ya jambo hili?

Nitashangaa sana iwapo hakuna kitakachofanyika.

Ikibid Bunge la April kupitia maazimio ya Bunge liitake serikali au Msukuma mwenyewe aiandikie TAKUKURU au Polisi kuitaka imchunguze bwana Makonda na aahidi kutoa ushirikiano.
 
Wanasubiri Maagizo toka juu hahaa sasa hivi hayaitwi tena maagizo Bali Maigizo toka juu.
 
Makonda ni mtoto wa pekee
Lazima baba aulizwe kwanza mtoto wake kuchunguzwa
Akikataa inakuwa picha limeisha
 
Back
Top Bottom