Nimesikia vyombo vya habari kuwa mmehairisha au kusogeza mbele kampeni.Zilikuwa zianze 22/8/2015,mmehairika mpaka tarehe isiyojulikana.Sababu mlizotoa ni mlipuko wa kipindupindu wilaya ya Kinondoni yaani kwa mkuu wa wilaya mchapakazi Mr Makonda.Sasa Tanzania ina mikoa mingi sana.Kwa nini muhaitishe kampeni nchi nzima wakati kipindupindu ni Kinondoni?Kwanini kampeni zisingeanza mikoa mingine na Dar es Salaam ikawa hapo baadae?Je kipindupindu gani kinazuka wakati wa kiangazi mazingika yakiwa makavu.Je muda huwa wa uhairishaji mtaufidia vipi ili zitimie siku zilizopangwa hapo awali.Uchaguzi lazima ufanyike 25/10/15,siku za kampeni mmepunguza je waliokwisha weka mikakati watafidiwaje siku zitakazopungua?