ngoja tumsubiri ayajibu halafu tutarudi tujadiliane juu ya majibu yake.
Hataki lawama kote. Kwa wapiga kura na kwa tajiri yake jakaya
Wanaogopa kuchomewa nyumba zao!Umeona mtu yeyote wa Mtwara/Lindi anajihusisha na mambo ya kusuluhisha mgogoro wa gesi?
Si Membe , si MKAPA, si Mathias Chikawe, wote kimya kabisa, kama vile hawapo!
Nina shaka hawa wameji'side na upande fulani!
Sangarara,
Una pwenti fulani kali sana kichwani, lakini hutaki wenzako wafaudu!
Hivi membe yupo jf?
Membe hana nafasi ya
kutushawishi wanaMtwara tukamwelewa. Ana-indluence jimboni Rwangwa, gesi
inatoka Mnazi bay, nearly 170 km from Rwangwa. After all wanaMtwara
tunamchukulia Membe kama mwekezaji wa kawaida hapa Mtwara.
Tulisham-disqualify looong time kuwa prezdaa wetu.
Membe hana nafasi ya kutushawishi wanaMtwara tukamwelewa. Ana-indluence jimboni Rwangwa, gesi inatoka Mnazi bay, nearly 170 km from Rwangwa. After all wanaMtwara tunamchukulia Membe kama mwekezaji wa kawaida hapa Mtwara. Tulisham-disqualify looong time kuwa prezdaa wetu.
Hataki lawama kote. Kwa wapiga kura na kwa tajiri yake jakaya
.......MSIMAMO WA MEMBE NI WAZI NA WALA HAYUKO KIMYA, NAPENDA SANA STAILI ANAZOTUMIA HUYU JAMA....AKIONGEA MURJI (MB) WA MTWARA MJINI, NDIO MSIMAMO WA MEMBE.....LAKINI HII YOTE HAITOSHI KUFANYA SIO TU KUWA RAIS AJAYE BALI HATA SIFA ZA KUWA RAIS HAZIJAI KIGANJA (maoni yangu tu lakini)Mwenyewe kapiga kimya ka halimhusu vile!!!Astakafirullah.MAULANA tumulikie waja wako.AMIN.