Swali kwa ma player na watu watu wagumu. kama wewe sio mgumu au player usisome

Ujana huo, hapo usipokuwa makini unamtandika mtoto wa watu mimba kuuuubwa au unauvagaa ukimwi kijingajinga au unatoka na magonjwa ya zinaa ukajutia.

Ingekuwa unampenda ningekushauri ufanye mipango inayotakikana uwe naye lakini kwa maelezo yako hayo ni shida, kuwa makini
 
Nilichong'amua..mtoa mada kaotea loose ball baada ya kula nyembe za kutosha. Vitonga na ngai huwaga vinakuwaga jau sana 😂😂😂 ila tatizo mwamba ana ugwadu sana. Hana jinsi lazma apigilie mkuyati tu.
 
Mi nikishaanza kusikia maneno

"Kwao"......"kwetu"...... napoteza hamu hata ya kusoma naona kama mleta mada bado mtoto
 
Mwanamke hajasoma hana bikra, basi awe na akili za maisha kama hana basi awe na tako la haja kama hana hata kimoja wapo tembeza pumbu pita kushoto

Najua utanishangaa ila ivo vitu kimoja wapo kitaku inspire hata kuwa na hamu ya kuendelea nae
 
Hahahaha jamaa umemwaga pwenti za muhim sana. Kama akili hana basi awe mzuri sana pasi na mfano. Awe na tako la hela yote! Ukivumilia ujue unavumilia lipi kati ya haya brain and strategic but romanticless ama kuwa na mke anaetakwa na kila mtu na akili hana!
 
Jaman habari zako? maaana najua akat unasoma uko mwenyewe!.
Mimi ni kijana wa kiume nimetokea kupendwa na mdada mmoja hapa jirani juzi alianza kuonyesha dalili kitambo.Mfano nikikutana nae anikumbatia kwa nguvu anafrahi ana changamka sana!. lakin mimi kusema kwel ndo walaaaaaaa sijamwelewa/kumpenda.
Mwezi uliopita ilitokea nikawa sijaenda kwenye mizunguko yangu na kwenye salamu nilimwambia kwamba nipo nyumbani.Alipogundua hilo alinialika kwao akiwa mwenyewe kwao mimi yuuuuule nikaibuka nkaingia getini kwao tukaaanza piga story wakat wa story nkamuuliza "Ivi unanipenda?" akasita sita akasema ndio. Apo mi nkajiongeza nkambananisha ukutani nkaanza kum touch touch akawa kama anaelewa yale yanayoendelea yani............ .Nkitaka kumfunua anakataaaaa akanipa story kwamba "Long time ago aliingiliwa na jamaaaa flani hivi so hayo mambo ya kuniaje yanamtesa sana so hatoweza.
Nkasema hapa nisije jikuta nashindwa kujizuia nkaaaacha nkampigisha story mbili huku tukiwa 0.0000000000006 distance mara ma kisss ya hapa na pale.... mi huyooooooooo nkarudi maskani.
Maswali yangu hapa.
1)huyu mdada ananipenda kwel kuliko hata mdada yeyote alie wahi nipenda yani anaonesha ana TRUE LOVE kwangu.Je nijifanye nampenda? maaana sometimes ananiuliza Unanipenda? mi nasema ndio lakini najiskia uzito.
2)Pia huyu dada amepitia kasumba kama laki ambazo zimemfanya asiende shule so kusoma kafundishwa juzi juzi sometimes ata mimi ananipa wakat mgumu kujua kama anauliza au anasema.Si atakuwa mzigo kwangu???.ukicheki mimi nina soma somaaaaaaaa. We utakubal kuoa au kuolewa na ambaye hajasoma?

NB.msaada wenu jaman kina miss natafuta,Zero iq,Money penny na wewe pia!
We fala kweli mzee.

Sasa nini cha maana hasa. Unataka watu wakwambie. Ulipaswa kusema mwanamke asiyesoma ananitaka na sio habari za ma player, mara ooh! Wagumu.

Nenda kasome, mwenzako anataka mapenzi huyo we kama hauna uwezo kumpa anachotaka jitoe tu. Na maanisha sio kumpa ukuni maana hata kimboka ukienda utapata wa kumpa ukuni.

ANATAKA KUPENDWA
 
Jaman habari zako? maaana najua akat unasoma uko mwenyewe!.
Mimi ni kijana wa kiume nimetokea kupendwa na mdada mmoja hapa jirani juzi alianza kuonyesha dalili kitambo.Mfano nikikutana nae anikumbatia kwa nguvu anafrahi ana changamka sana!. lakin mimi kusema kwel ndo walaaaaaaa sijamwelewa/kumpenda.
Mwezi uliopita ilitokea nikawa sijaenda kwenye mizunguko yangu na kwenye salamu nilimwambia kwamba nipo nyumbani.Alipogundua hilo alinialika kwao akiwa mwenyewe kwao mimi yuuuuule nikaibuka nkaingia getini kwao tukaaanza piga story wakat wa story nkamuuliza "Ivi unanipenda?" akasita sita akasema ndio. Apo mi nkajiongeza nkambananisha ukutani nkaanza kum touch touch akawa kama anaelewa yale yanayoendelea yani............ .Nkitaka kumfunua anakataaaaa akanipa story kwamba "Long time ago aliingiliwa na jamaaaa flani hivi so hayo mambo ya kuniaje yanamtesa sana so hatoweza.
Nkasema hapa nisije jikuta nashindwa kujizuia nkaaaacha nkampigisha story mbili huku tukiwa 0.0000000000006 distance mara ma kisss ya hapa na pale.... mi huyooooooooo nkarudi maskani.
Maswali yangu hapa.
1)huyu mdada ananipenda kwel kuliko hata mdada yeyote alie wahi nipenda yani anaonesha ana TRUE LOVE kwangu.Je nijifanye nampenda? maaana sometimes ananiuliza Unanipenda? mi nasema ndio lakini najiskia uzito.
2)Pia huyu dada amepitia kasumba kama laki ambazo zimemfanya asiende shule so kusoma kafundishwa juzi juzi sometimes ata mimi ananipa wakat mgumu kujua kama anauliza au anasema.Si atakuwa mzigo kwangu???.ukicheki mimi nina soma somaaaaaaaa. We utakubal kuoa au kuolewa na ambaye hajasoma?
NB.msaada wenu jaman kina miss natafuta,Zero iq,Money penny na wewe pia!
acha kujibaraguza unadate na beki 3
 
Akiongea hujui kama anauliza au ndiyo anasema... hatari sana...

Embu weka voice note yake, tukushuari vizuri... Kama hujisikii kua nae usimpotezee muda wake...

Cc: mahondaw
 
We jamaa elimu yako haijakusaidia....nadhanimhata wewe ukirudia soma hutaelewa...acha mapenzi nenda shule halafu acha ngono zembe nyumbani kwa mwanamke ndo maana kuna maguest utakuja itiwa mwizi

Bora umeniwahi, huyo hata kama amesoma lakini bado hajaelimika, halafu nahisi ni mvulana maana mwanaume hawezi kuuliza swali kama hilo. nimeridhishwa na majibu mujarabu uliyompatia. nakupa kongole!!!!!
 
Japo haujaniita lakin mchango wangu ni huu....
Mapenzi, maisha na kusoma ni vitu vitatu tofauti,
Mi nitaolewa na mtu hata kama hakusoma madhali nitakua nimeridhika nae.

Ahsante kwa kujitambua. Kama kweli hujaolewa, nakuombea kwa MUNGU upate hitajio la moyo wako.
 
Back
Top Bottom