Swali kwa ma player na watu watu wagumu. kama wewe sio mgumu au player usisome

Bado utabak unajilaum kwa kupoteza nafas ya wazi kabisa..... nachokushauri achana na mambo yakwenda kwa mwanamke na kutaka gem labda iwe emergency tu kama hvyo ila isiwe tabia maana kuna vilainishi usipende kitonga mzee baba
Apa kwenye vizinga sizani kama ataeza.... . But ikitokea akanipiga ntatumia njia hio kumkimbia ili nitoke kwenye hili "BONGE LA DILEMA"
 
Kwahiyo ulitaka umbandulie kwao? We jamaa wa hovyo kabisa, umewahi kupata picha mwanaume aje kumbanduwa Dadaako kwenu au mwanao jamaa aje kubandua nyumbani kwako, acha utoto subiri ukuwe mambo yatajiset yenyewe!
 
Kwahiyo ulitaka umbandulie kwao?
Sina mpango wa kumpeleeka location ingine maaaana ni Gate kali ya hali ya juuuuuu kumtoa apo ni msala wa kutulizwa na FFU. lakin ntamtaftia sababu ya kumsukumia kuuuuuuuuuuuuuule. Recycle bin kasema kuna vilainishi sina haja ya kuvijua!
 
vipo ndio we endelea kama avijapakwa juu yako
 
Kweli kwenye miti hakuna wajenzi wallah, wengine tuna tafuta bahati kama hizo kwa tochi...tehteehh
 
Back
Top Bottom