Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,960
- 183,581
Hapo ndio lazima akili ziwakae sawa maana ni kweli huwa tunataka vyote.Sasa mtu anawezaje kukupa attention na space at the same time...naweza vipi kukupa attention wakati nikikupa space sitakuwa na wigo mzuri wa kukuonesha my attention to you