mansoorsaid
JF-Expert Member
- May 31, 2014
- 1,498
- 286
Naomba kuwauliza hao kamati ya simba na yanga kama katika kipindi cha utawala wa kuongoza akatokea kiongozi amejiuzuru ni muda gani haruhusiwi kugombea tena
mimi kwa hiyo post sijamtaja kaburu naona kuna makosa hapo kuna kuna yule wa yanga kama sikosei anaitwa Tesha
swali linakwenda kwa katiba ya simba si kwa kamati ya uchaguzi
da ahsante ndugu sidhan kama atakuwa na swali la ziada. Huyu ndugu kila siku na maswali ambayo sio kbs. Hawa ndo wanaendekeza migogoro.we anzisha uzi wa kimaendeleo