Swali kwa Gwajima: Tuendelee kula malimao?

Swali kwa Gwajima: Tuendelee kula malimao?

kende

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
3,527
Reaction score
1,669
"Asiyemtaka Lowassa
akale malimao!" Hicho ndicho alichosema Gwajima alipokuwa kwenye mkutano wa Lowasa Arusha. Nadhani sasa imefikia zamu yake kuanza kufakamia malimao na ndimu!
 
"Asiyemtaka Lowassa
akale malimao!" Hicho ndicho alichosema Gwajima alipokuwa kwenye mkutano wa Lowasa Arusha. Nadhani sasa imefikia zamu yake kuanza kufakamia malimao na ndimu!
Kenge yule, sio mchungaji na hafai kabisa, nawashangaa wanamfuata kusali kanisani kwake nao ni vilaza, alishapewa fedha na Lowasa, ale tu malimao tu safari hii. Best wake kapigwa chini, watasaidiana kula malimao wao wenyewe
 
Hahahaaaaaaaaa…, nimecheka sana Mkuu!
Si zamu ya Gwajima tu bali Team Lowassa wote!!
 
haha..lakini pia alisema kua dr.slaa wanajuana mda mrefu, tokea alivyokua kwene utumishi wa kanisa....mchungaji ana plan A na B..hahaha
 
Attachments

  • 1436588111750.jpg
    1436588111750.jpg
    14.9 KB · Views: 924
Hahahaaaaaaaaa…, nimecheka sana Mkuu!
Si zamu ya Gwajima tu bali Team Lowassa wote!!

Hahaaa ndio dawa ya wachumia tumbo kula malimao n juice y ndimu....toka jana mchana nliambiwa edo kwisha habari yke na wafuasi wke wakileta fujo kibano kikali wanapewa n tiss
 
jamani naskia yule mchunga kondoo aliesema atajiua yupo ICU
 
"Asiyemtaka Lowassa
akale malimao!" Hicho ndicho alichosema Gwajima alipokuwa kwenye mkutano wa Lowasa Arusha. Nadhani sasa imefikia zamu yake kuanza kufakamia malimao na ndimu!

Wachumia 2mbo malimao hayawezi maliza kichefuchefu toka jana mchana wameanza kunywa juice y ndimu......kma namuona edo kapakiwa kwenye ambulance hali c hali
 
Kwann membe!!!!!!!!!???????????????????????????????????????????????
 
tatizo huijui vzr philosophy yake... fatilia kwenye mkutano wa CHADEMA kawe alisemaje...
 
"Asiyemtaka Lowassa
akale malimao!" Hicho ndicho alichosema Gwajima alipokuwa kwenye mkutano wa Lowasa Arusha. Nadhani sasa imefikia zamu yake kuanza kufakamia malimao na ndimu!

Haaaa! haaaa! haaaaa! usinivunje mbavu mieeeee! Na mganga wa kienyeji itakuwaje? When God say no, nobody can say yes!
 
Sipati picha mzee kingunge yupo katika hali gani muda huu
Bila shaka watakuwa wamemkimbiza kwenye hospitali mojawapo hapo Dom kutokana na kupanda kwa blood pressure.

Hata ule mkwara mzito aliopiga kuwa mtu wake mzee wa mamvi jina lake likikatwa ataingia 'msituni' kuongoza maasi sijui kama ataitimiza kwa kuwa nasikia kuwa vyombo vya dola vimeshawadhibiti ipasavyo wote wale wanaojiita 'friends of EL'
 
Namhurumia mzee Kingunge,pole mzee wangu ulimpenda sana EL lakini upungufu wa uadilifu na rushwa vilimpenda zaidi.Wajukuu zako wanakungoja mkacheze msita
 
Najua mtachukulia kuwa ni dhihaka ila ni swali la maana sana na naomba team zake mtujibu.
 
Back
Top Bottom