Tuwe wazalendo na nchi yetu. tusimwonee mtu haya, tutumie taaluma zetu kuwaelimisha ndugu, jamaa zetu walioko vijijini waelewe udharimu na ufisadi unaofanywa na CCM ili waondokane na kuwa mtaji imara wa CCM. Ukiangalia data chache za uchaguzi mwaka huu, Vyama vya upinzani vimeshinda zaidi mjini kuliko vijijini na sehemu zenye umaskini mkubwa. hivyo basi natoa wito wa kuanza sasa kutoa elimu haki za watanzania na mali tulizonazo kwa watu wa vijijini. sisi wasomi tuweke pembeni maslahi binafsi. Tafiti za wapi pa kuanzia tayari zimetolewa na mchakato wa kura za uchaguzi mkuu. Anza kazi.Mambo makubwa duniani yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutokana na uwekezaji mkubwa kwenye Utafiti na maendeleo au kwa kiingereza 'Research and Development' kwa kifupi R&D.
Katika hili kuna kujiuliza mengi ili kufikia lengo kwa gharama nafuu lakini kwa viwango bora na mazingira bora.VFM- Value for Money.
Kwa kifupi kwenu wajuzi wa R&D. Naomba tufanye utafiti makini na kisha tujadiliane kupata mbinu mbalimbali juu ya swali lifuatalo.
Kwa kuwa sababu tunazo, nia tunayo na uwezo umechakachuliwa,
Tutawezaje kuing'oa CCM madarakani bila kumwaga damu?
VFL - Value for life.
Kwa NEC hii hii na matumizi ya nguvu as well as makada/wasimamizi wa uchaguzi wa chama kwa kisingizio cha ufanyaji kazi serikalini lazima watu tujitoe mhanga kwa manufaa ya wengi.
Ingawa plan B ya kuweza kubadili niliyoyataja apo juu vile vile ni possible
Mkuu ndio maana najaribu kufikiria tutawezaje kufikiria nje ya boksi ikiwa ndani ya boksi kumejaa. 'thinking outside the box'.
Yaani suala lisiwe kama wameiba basi tupasuane vichwa, nadhani kama 'GREAT THINKERS' tunaweza kusaidia watoto na wajukuu zetu kwa kutumia 'bongo' zetu kuliko ngumi zetu kutatua matatizo yaliyopo. Je ni kweli tumeishiwa mawazo kiasi cha kudhani ngumi pekee ndio utatuzi wa matatizo yetu. Sisi sote ni watanzania tukipigana..nani anampiga nani kwa faida ya nani....naona utakuwa uvivu wa kufikiri na kutafakari.
Japo wizi unachochea ghasia lakini najaribu kufikiria pale marekani...florida...ilipodhaniwa kuwa 'Bush' alichakachua kwa kutumia 'Secret Service' na CIA kilifanyika nini baadaye...hawakupasuana vichwa bali utafiti wa tangu enzi na enzi uliwasaidia kuhakikisha kuwa wananchi walipochoka na sera za Republican...Democrats walikuwa na uhakika kuwa yeyote ambaye angepita kwenye chaguzi za chama angechaguliwa kuongoza USA. Obama akapita Democrats na hivyo akapita kijumla.
Vipi kuhusu muungano wa vyama vya upinzani?
Vipi kuhusu elimu ya uraia vijijini?
Vipi kuhusu uwazi wa mahesabu ya kura?
Vipi kuhusu uhuru wa tume ya uchaguzi?. 'independency'. As professionals you should not only be independent but also you should seem to be independent.
WHAT SHOULD WE DO???? WHERE DID WE SUCCEED IN PREVENTING CHAKACHUARING, SO WHAT IS OUR LESSON ON THAT? ETC ETC.
Kuna jamaa mwanafalsafa mmoja alisema kuwaTutawezaje kuing'oa CCM madarakani bila kumwaga damu?
jamii hata kama itakuwa na ujinga wa namna gani, itakapo nyonywa vya kutosha na viongozi, basi jamii yenyewe itasimama bila kuamrishwa na yeyote nayo itafanya mapinduzi
hii tumeiona wakati wa uchaguzi ulopita kwani ukilinganisha kura za urais na idadi ya wabunge waccm na ile ya '05 nadhani waweza kuona ni jinsi gani hawa jamaa wanaelekea kuanguka. Tusijilaumu sana kwa hawa jamaa kwani wamekaa madarakani muda mrefu so wamekwisha jijingea mizizi ambayo inawafanya wadhani kuwa watatawala milele.uongozi wowote wa kiserikali una mbegu zitakazoufanya uanguke
lakini miaka mitano ni mingi na michache vilevile
Siku si nyingi tutawaona wadanganyika wakiitoa hii.Yeyote apaswa kujiuliza kwamba kama serikali ya mseto imefanyika Zanzibar yenye majimbo yasiyozidi hamsini na tano, kwanini isifanyike bara kwenye majimbo zaidi ya miambili, au wanasubiri tuchinjane kama zenji ndo wajisifu kwa muafaka?When the pressure is high upon the subodinates, whatever is inside comes to the surface
hili huwezi lipata kwa vipngozi a ccm, for them, they keep on calling a spade a big spoon instead of calling it by its name. Utamuona na kumsikia kiongozi wa chama na nchi akihutubia kuwa kwa kipindi cha uongozi wake maendeleo yamekuwepo na kuongezeka na sababu ya kujustify statement yake atakwambia kuwaHow do leaders earn respect? By making sound decisions, by admitting their mistakes, and by putting what is best for their followers and the organization ahead of their personal agenda
na atapigiwa makofi na kushangilia, hivi tuna akili kweli sisi?foleni za magari dar zimeongezeka
Wala tusife moyo. Hawa vingozi wa ccm walowengi wanakwenda kinyume cha hii principleSacrifice is an on going process, not a one time payment
na hii ndo dichotomy tunayoiona kati ya ahadi na utekelezaji wa ilani ya ccm.Leaders tell but never teach until they practice what they preach
watatudanganya kwa kununuliwa kanga na kofia kuonesha kuwa wanatujali but tukikubali basi tutaendelea kudanganyika. Principle wanayoitumia ni ile ya kukuza mambo ili waonekane wazuri. Socrates aliposhitakiwa kwa uongo alisemaThe only thing that walks from the tomb with the mourners and refuses to to be buried is the character of a man/woman. this is true, what a man/woman is survives him. it can never be buried
Momentum is like a magnifying glass; it makes things look bigger than they are
In Tanzani, this will never ever be realized as long as the incumbent ccm and all its traits are still on powerIt is not the position that makes a leader ; it is a leader that makes the position
Kuna jamaa mwanafalsafa mmoja alisema kuwa
Rodney W naye alisema,
hii tumeiona wakati wa uchaguzi ulopita kwani ukilinganisha kura za urais na idadi ya wabunge waccm na ile ya '05 nadhani waweza kuona ni jinsi gani hawa jamaa wanaelekea kuanguka. Tusijilaumu sana kwa hawa jamaa kwani wamekaa madarakani muda mrefu so wamekwisha jijingea mizizi ambayo inawafanya wadhani kuwa watatawala milele.
namkumbuka Adeyamo mwandishi alisema Siku si nyingi tutawaona wadanganyika wakiitoa hii.Yeyote apaswa kujiuliza kwamba kama serikali ya mseto imefanyika Zanzibar yenye majimbo yasiyozidi hamsini na tano, kwanini isifanyike bara kwenye majimbo zaidi ya miambili, au wanasubiri tuchinjane kama zenji ndo wajisifu kwa muafaka?
Kuna mwingine (Maxwell C) katika kitabu chake cha mwaka juzi alisema hivi kuhusu uongozi hili huwezi lipata kwa vipngozi a ccm, for them, they keep on calling a spade a big spoon instead of calling it by its name. Utamuona na kumsikia kiongozi wa chama na nchi akihutubia kuwa kwa kipindi cha uongozi wake maendeleo yamekuwepo na kuongezeka na sababu ya kujustify statement yake atakwambia kuwa na atapigiwa makofi na kushangilia, hivi tuna akili kweli sisi?
Wala tusife moyo. Hawa vingozi wa ccm walowengi wanakwenda kinyume cha hii principle na hii ndo dichotomy tunayoiona kati ya ahadi na utekelezaji wa ilani ya ccm.
Mkuu, nimalizie tu kwa kurudia maneno ya Analyst mmoja aitwaye Miller J aliposema watatudanganya kwa kununuliwa kanga na kofia kuonesha kuwa wanatujali but tukikubali basi tutaendelea kudanganyika. Principle wanayoitumia ni ile ya kukuza mambo ili waonekane wazuri. Socrates aliposhitakiwa kwa uongo alisema
We have always to remember according to Huffty S. that In Tanzani, this will never ever be realized as long as the incumbent ccm and all its traits are still on power
Nawasilisha!
Mambo makubwa duniani yamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kutokana na uwekezaji mkubwa kwenye Utafiti na maendeleo au kwa kiingereza 'Research and Development' kwa kifupi R&D.
Katika hili kuna kujiuliza mengi ili kufikia lengo kwa gharama nafuu lakini kwa viwango bora na mazingira bora.VFM- Value for Money.
Kwa kifupi kwenu wajuzi wa R&D. Naomba tufanye utafiti makini na kisha tujadiliane kupata mbinu mbalimbali juu ya swali lifuatalo.
Kwa kuwa sababu tunazo, nia tunayo na uwezo umechakachuliwa,
Tutawezaje kuing'oa CCM madarakani bila kumwaga damu?
VFL - Value for life.
Kuna jamaa mwanafalsafa mmoja alisema kuwa
Rodney W naye alisema,
hii tumeiona wakati wa uchaguzi ulopita kwani ukilinganisha kura za urais na idadi ya wabunge waccm na ile ya '05 nadhani waweza kuona ni jinsi gani hawa jamaa wanaelekea kuanguka. Tusijilaumu sana kwa hawa jamaa kwani wamekaa madarakani muda mrefu so wamekwisha jijingea mizizi ambayo inawafanya wadhani kuwa watatawala milele.
namkumbuka Adeyamo mwandishi alisema Siku si nyingi tutawaona wadanganyika wakiitoa hii.Yeyote apaswa kujiuliza kwamba kama serikali ya mseto imefanyika Zanzibar yenye majimbo yasiyozidi hamsini na tano, kwanini isifanyike bara kwenye majimbo zaidi ya miambili, au wanasubiri tuchinjane kama zenji ndo wajisifu kwa muafaka?
Kuna mwingine (Maxwell C) katika kitabu chake cha mwaka juzi alisema hivi kuhusu uongozi hili huwezi lipata kwa vipngozi a ccm, for them, they keep on calling a spade a big spoon instead of calling it by its name. Utamuona na kumsikia kiongozi wa chama na nchi akihutubia kuwa kwa kipindi cha uongozi wake maendeleo yamekuwepo na kuongezeka na sababu ya kujustify statement yake atakwambia kuwa na atapigiwa makofi na kushangilia, hivi tuna akili kweli sisi?
Wala tusife moyo. Hawa vingozi wa ccm walowengi wanakwenda kinyume cha hii principle na hii ndo dichotomy tunayoiona kati ya ahadi na utekelezaji wa ilani ya ccm.
Mkuu, nimalizie tu kwa kurudia maneno ya Analyst mmoja aitwaye Miller J aliposema watatudanganya kwa kununuliwa kanga na kofia kuonesha kuwa wanatujali but tukikubali basi tutaendelea kudanganyika. Principle wanayoitumia ni ile ya kukuza mambo ili waonekane wazuri. Socrates aliposhitakiwa kwa uongo alisema
We have always to remember according to Huffty S. that In Tanzani, this will never ever be realized as long as the incumbent ccm and all its traits are still on power
Nawasilisha!
Ingelikuwa mimi ni kiongozi wa Upinzani, baada ya wao kuanza kutoa matangazo ya ushindi wao, nisingelipiga nao kelele. Ningelianza ziara mtaa kwa mtaa, kijiji kwa kijiji, kujinadi upya huku nikiwashirikisha wananchi kuwashuhudia hao wezi namna wanavyovuruga demokrasia na kukandamiza haki za wananchi.
Mipango iko ya namna mbili:
ya mpito (wenyewe wanasema ya muda mfupi) na ya muda mrefu. hebu tazama, mtoto aliezaliwa mwaka 1995 (wakati wa usanii wa kwanza wa kura za vyama vingi - baada ya kurejeshwa) uchaguzi huu uliopita wamepiga kura na ndizo hizo zilozoitetemesha si si emu. je mnawaandaaje wapiganaje hao kwa uchaguzi wa 2015?
Ingelikuwa ni mimi, ningelitengeneza vituo vya mawasiliano kwa vijana (Youth Information Centers) angalau kila makao makuu ya jimbo, hapa ndipo pa kuanzia... Utaniuliza pesa ningelizitoa wapi - nitakujibu "je wale kina Sabodo walionipa pesa za Kampeni watakataa kunipa za kujiimarisha?" Utaniuliza "je kama hawakukupa?" nitakujibu "hapo nitakuwa na njia mbadala - ukishindwa kuvua samaki kwa nyavu watumia ndoana" na itakuwa imejulikana hao waliotoa pesa wakati wa kampeni si wakweli wa kukuza ushindani na demokrasia. Nitajipanga upya na watu wakweli wenye uchungu na nchi, tutajitolea thumni kwa thumni na ndani ya miaka mitatu tutakuwa tumeenea kwa zaidi ya asilimia sitini. Ikifika wakati wa kampeni, hatuta-deal na wale wanaotoa michango yao ili baadae waje kulipwa fadhila kwa kulindiwa maslahi na biashara zao...
Nimewasilisha mwaweza endelea hapo:glasses-nerdy:
:smile: nji hii....... wanatutoa kwenye mambo ya msingi tunayopaswa kufikiri kwa ajili ya maendeleo na kutupeleka tufikiri tusiyotaka kuyafikiri yaani! Je kwanini hawataki kutoa elimu ya uraia mashuleni ipasavyo?Hiyo ndo elimu ya URAIA. Watanzania wengi waliojiandikisha hawakupiga kura sababu ni nyingi - shahada kununuliwa na CCM etc...
Na tuliopiga kura zetu zimechakachuliwa. Wengi hawajui kwamba tunapomcgaua kiongozi ni sawasawa tunamwajiri inabidi afanye kazi kwa maslahi ya taifa na si vinginevyo. CCM ni chama kilichotokana na TANU na ASP - vyama vilivyoasisi uhuru wa nchi hii. Wengi wa waanzilishi wamekufa au ni wazee mno (Kinginge na wenzie) hivyo wanaokiongoza ni sawa na watoto wanaoishi kwa kutegemea mali ya urithi - hivyo CCM inaongozwa na warithi ambao hawajui maana halisi ya uzalendo wao wanachojua ni chama kuwanufaisha wao tu na si taifa.
With PEOPLE'S POWER tunaweza kabisa kuthubutu kuwaambia hawa watu kwamba imetosha, kaeni pembeni waje wengine wenye uzalendo na nchi hii.
Hakika umepekenyua palo stahili na umekaribia kugusa,SWADAKTAAAA.... umegusa haswaaa nilichokuwa nikikiandika wakati wote. embu subiri kwanza watu jazba zishuke na wajue ni nini wanachokitaka, laa sivyo...:smile-big: