Swali kwa dada zangu wa JF

Binafsi siwez kukubali unless niwe nimeridhia tu mwenyewe kufanya..thamani yangu haiwez lingana na ya pesa,,
 
Million tano hata kijumba hujengi. Aah wapi. Ndogo hyo. Unaweza ukapata migonjwa ukaitibu zaid ya hyo million 5

Usalama unahakikishiwa ..ila hizi ni kelele za mtandaoni tuu tukikutana uko mitaani ata dau la iphone x halifiki
 
Bongo hakuna anaeweza kukataaa aisee... yanii unagongaa unaemtakaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…