Swali kwa BASATA

Olaph.uk

Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
51
Reaction score
5
Hivi karibuni kuna msanii wa kike wa bongo fleva, alifungiwa kufanya au kushiriki shughuli yoyote ya mziki kwa mwaka mmoja na Baraza la Muziki la Taifa, kwa kile kilochosemekana eti alidhalilisha umma wa Watanzania alipokuwa akitumbuiza nchini Sweden, lakini cha kushangaza msanii huyo amekuwa akifanya shughuliza za mziki na chama kimojawapo cha siasa katika kampeni.

Swali je, BASATA wameliona hilo au ni kiini macho tu kwa sisi watanzania?
 
Ni kweli amefungiwa na kwenye kampeni kaburudisha na sisi tumeona na hakuna wala hatufikiliii kumchukulia hatua yoyote nenda kashitaki.
 
 
Basata hawana mamlaka yeyote mbele ya CCM.
 
Alishasamehewa like 7 days ago..sema kasamehewa kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…