Horseshoe Arch
JF-Expert Member
- Aug 10, 2009
- 13,402
- 12,787
Nisaidie hili :KUNA BWANA 1 MKAZI WA UNGUJA, ILA yupo London akawaagiza nduguze wamuolee MKE, wakamuolea. Jamaa akaja Unguja Ili kukutana na MKEWE.
Alipofika air port zanzbar kabla hajafika nyumbani akakutana na msichana mzuri akashawishika akamtongoza wakaenda guest na wakafanya MAPENZI!
Alipoenda nyumbani,ili akutane na MKEWE, akaambiwa yupo sokoni, aliporudi yule msichana kumbe ndio MKE mwenyewe! aliyekuwa nae gest, Je huyo Jamaa alizini au alilala na MKEWE? Na mme atamchukuliaje mke wake? mke atamwonaje mme? nani malaya?