Swali: Kuna mtu amewahi tumia chumvi ya mawe na ikamsaidia?

Hakuna chochote Watu mnachezewa sana akili.

Hawa wanaoanzisha hizi uvumi wangeisaidia sana Jamii kama wangesisitiza kwamba Mtu utapata baraka kwa kusaidia Wazazi wako, au Wazee na Vikongwe, Wasiojiweza n.k....yaani ifike mahali Mtu ana haha kumtafuta Mwnye uhitaji amsaidi ile mambo yake yakae sawa.

Ni jambo la kuamua badala ya kuwaachia wajanja wachache wakacheza na akili za Watu kwa mambo ya kufikirika tu.
 
Lazma akufukuze tu hamna namna, huwezi kugoma kumlimia shamba 🤣🤣🤣🤣🤣
Ulitisha ktk huu uzi Ja-Rule mzee wa vipinchi💪, namm wame nitumua aisee hii 2021 december sa'bu kuchoma ,maana nilikua nikiskia mipaka au milio yyt ktk bati mm naamka nachukua chotezo lenye vitundu like nawasha Gas NALIPUA mabom wee nomaa🔥🔥, baasi ikawa kimyaa no mandoto ya ajabu wala mipaka na wala mbwa wao kulialia km ana nyege, sab'u tangu nianze zoezi mbwa tulio mkuta alikua analia milio ya sinto faham kbs basi tukajua nyegez tukawa tuna mfungulia geti sisi tena sio wao maana tulikua hatulalii kwa milio ya ajabu lkn akawa harudi hata 3 dayz na baadae akapotea mazimaa, basi tena kuna siku mama mwenyumba alkua sjui anaumwa,akaleta wanamaombi design walokole wakawa wanapiga maombi,eti mpaka ktk madirishani wanakuja kukemea😂😂😂 baada ya siku 2 mzee mwenyenyumba akasema tuhame kodi ataturudishia eti kisa tu mkewangu hua hafagii uwanja, mm nikastukia nikafrah sanaa na kodi ya miez 2 ilio baki tuka potezea tuka shift, yaani CHUMVI NI BALAA Big up to Mshana.Jr💪👍👍
 
Si yale maji ya marashali au yakua ktk chapa za Haineken? So una mix ktk maji ulio wekea na Chumvi au kivyaevyake tu? Nipe madini mzee wa ma MotorCars
Unatia vifuniko viwili tu kwa maji ya robo ndoo unajisuuza nayo haina haja ya kumix na chumvi kama una mdudu utausikia tu mwili lazma uitike😅!

Unaoga part 1 na sabuni vizuri ukimaliza unakuja part 2 ya rose essence hio maji kidogo.
 
Ukienda dukani unaul
Unatia vifuniko viwili tu kwa maji ya robo ndoo unajisuuza nayo haina haja ya kumix na chumvi kama una mdudu utausikia tu mwili lazma uitike😅!

Unaoga part 1 na sabuni vizuri ukimaliza unakuja part 2 ya rose essence hio maji kidogo.
unauliza tu marashi rose au yana jina lingine?
 
Mi nimeimwaga humu ndani kwangu, kuna wakati nilikuwa silali deile lazma wachawi wanletee ufala night ila kwa sasa siwasikii kutua tena. 🤣🤣🤣🤣🤣 naona wamehama mtaa!

Dozi ni kutia pinch katika kila kona ya nyumba yako kwa ndani.
True hawa wapumbavu ukizijua codes zao awakusumbui,watu wanalogwa kwa kukosa maarifa.
 
miaka ya nyuma kidogo nilikuwa nafanya biashara ya mchele kwenye minada uko MBWEWE mpakani mwa tanga na bagamoyo, kila nikifanya biashara pesa siioni chumaulete ilikithiri, nikashauriwa niende nikanunue chumvi ya mawe kwenye maduka ya kisuni niwe naweka kwenye mfuko wa pesa

bas tangu apo mambo yakawa fresh pesa haipotei
 
Madhara utayaona tu mambo yakiwa hayaendi kukamilika vitu vikitaka kutiki tu mambo yanaharibika halafu huelewi.

Pesa nazo zikibadilisha njia. Ikifikia stage hata buku kwako mtihani utajiongeza tu!😂
Napenda kujua ni nini hasa maana ya husda, kijicho,hila nk.. muathirika wa hayo anapata madhara gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom