Mi nimeimwaga humu ndani kwangu, kuna wakati nilikuwa silali deile lazma wachawi wanletee ufala night ila kwa sasa siwasikii kutua tena.naona wamehama mtaa!
Dozi ni kutia pinch katika kila kona ya nyumba yako kwa ndani.
As long as una wadhifa napo maana umelipa kodi hapo ni kwako, we tia tu chumvi!
Ndiooo, kwan nyumba ya kupanga c unalipia inamaana we ndo unakua mmiliki halali
Naunga mkono hojaKama vipi tuwe tunaichanganya kwenye nyungu ya corona.Sasa hivi ni kupambana kufa na kupona.
Unaweza kuweka kumbe mchawi ni mzee mwenye nyumba, saa ngapi hujapewa notisi isiyoeleweka chanzo😀😆As long as una wadhifa napo maana umelipa kodi hapo ni kwako, we tia tu chumvi!
Kipo.Hakuna kitu hapo